Public plea, Kitila, Zitto, Mnyika na wapiganaji wengine... Dont quit

Mimi nipo na sijakwazika kwa kiwango cha kukimbia. Kidogo kuna kubanwa na kukosa muda wa kupita hapa. Nitajihidi sana nichangie, ukizingatia huu ni mwaka wa vituko, mbwembwe na madoido mengi!

Cheers!
Je umeacha kutumika siku hizi? Kwani wakati ule ukiwa DARUSO ulitumika sana! Nafikiri PhD yako ya socio-psychology itakuwa inakusaidia kidogo kupambanua mambo!
 
Mimi nipo na sijakwazika kwa kiwango cha kukimbia. Kidogo kuna kubanwa na kukosa muda wa kupita hapa. Nitajihidi sana nichangie, ukizingatia huu ni mwaka wa vituko, mbwembwe na madoido mengi!

Cheers!
Inaonekana unapita ila kuchangia ndio hakuna, kama usingekuwa unapita usingeiona hii thread!
 
Je umeacha kutumika siku hizi? Kwani wakati ule ukiwa DARUSO ulitumika sana! Nafikiri PhD yako ya socio-psychology itakuwa inakusaidia kidogo kupambanua mambo!

Wewe je umeacha kutumika? Unapokua hapa JF huwa unatumika sana.......
 
Ah JF, kipindi kitamu hiki tungeweza kuwapata hawa jamaa hata kwenye special thread moja tusikie maoni yao

hasa kwenye kiasi cha pesa kilichotumika, potential majimboz and the fall of mibuyu ndani ya sisiemu
 
Wewe je umeacha kutumika? Unapokua hapa JF huwa unatumika sana.......
Nilifikiri ni mimi tu niliyekuwa nalijua hili!Nina hakika hata hao wenzake akina Zitto na Mnyika hawalijui. Huyu jamaa kaenda kujichanganaya kusiko kabisa, kule alikokwenda na yeye mwenyewe alivyo ni tofauti kabisa,... anyway time will tell!
 
Je umeacha kutumika siku hizi? Kwani wakati ule ukiwa DARUSO ulitumika sana! Nafikiri PhD yako ya socio-psychology itakuwa inakusaidia kidogo kupambanua mambo!

Jamaa anaongea ukweli mtupu,... waliokuw UD 98/99 nadhani watakuwa wanampata vizuri!
 
JF ilianza kushushwa hadhi na wapambe wa: CHADEMA-MBOWE na Wanaojiita wapambanaji wa ufisadi.

Maana kila aliyetofautiana na hoja zao ni mtetezi wa mafisadi, as a result mafisadi nao wakaleta wapambe wao, kijiwe kikawa upuuzi mtu mtupu. Si ajabu wenye busara kuwa zao kimya!

Mods wameshapoteza dira.

Wachafuzi endeleeni!
 
Back
Top Bottom