PUBLIC ENEMY # 1. ( BABY FACE NELSON)

Kipindi cha Mdororo wa Uchumi cha 1930's ( Great Economic Depression ) hao jamaa akina Baby face na John Dillinger walitikisa sana kwa wizi wa kuiba kwenye mabenki na kutishia usalama wa mabenki, raia na mali zao.

Hivyo kupambana na watu kama hao ilibidi atokee mwanamume mwenye roho mbaya zaidi ya wao ili awadhibiti.

Na hapo ndipo J. Edgar Hoover akiwa kama Mkurugenzi wa FBI alipojichukulia credit zake kwa kuhakikisha anawapoteza majambazi hao na kweli kazi aliifanya.

Ahsante mtoa mada kwa kushare nasi!
 
Ya welcome mkuu...
Halafu wezi wote walikua vijana wadogo tu
 
Winchester XPR. Nimetumia sana hii kitu kwenye operations kadhaa.( S.A na Namibia) (hunting safari)
cq5dam.web.1200.1200.jpeg
 
Back
Top Bottom