Benjamin10
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 389
- 553
Habari wakuu..
Wiki kadhaa zilizopita nilikua nikituma maombi ya kazi.. kutumia ajira portal.. nilikua naitwa kwenye usaili.. sikufanikiwa.. kufaulu..
Nikaomba mara ya pili sikuitwa.. sababu.. lowyer.. hajaidhinisha vyeti vyangu.. nikavipeleka vikaidhinishwa..
2.nikatuma tena.. sikuitwa.. sababu sija attach biŕth certificates.. nikaattarch..
3. Nimetuma tena mwezi juni nafasi za kazi TEMDO.. juzi wameitwa.. mimi sikuitwa.. sababu sijaipitisha barua yangu ikaidhinishwe kwa mwajiri wangu..
Sasa hapa nashindwa kuelewa niipitishe kwa mwajiri yupi wakati sijaajiriwa popote?