PSRS mbona wamekuwa wakichukua muda mrefu mchakato wa ajira?

Dbaba

Senior Member
Jun 18, 2022
170
515
PSRS ndio chombo kilichopewa dhamana ya kusimamia michakato ya ajira lakini kama sio kuelemewa basi itakua wana changamoto ambayo ni vyema waiweke wazi,mchakato wa ajira siku hizi umeanza kuchukua mida mrefu sana.mfano ajira zile za MDA's na LGA,s walizotangaza tangu mwezi wa tano mpaka leo hata interview bado ilihali kulingana na taarifa ya serikali ilipaswa waajiriwa wawe kazini kabla ya mwaka wa fedha.kuchukua muda mrefu kwenye kuajiri kunaweka maswali hasa kujua hizi ajira nia za mwaka upi wa fedha.
 
Labda wanasubiri mpaka sensa ipite maana kuna za TRA ilikuwa mwez wa tatu ule mpaka leo kimyq
 
PSRS ndio chombo kilichopewa dhamana ya kusimamia michakato ya ajira lakini kama sio kuelemewa basi itakua wana changamoto ambayo ni vyema waiweke wazi,mchakato wa ajira siku hizi umeanza kuchukua mida mrefu sana.mfano ajira zile za MDA's na LGA,s walizotangaza tangu mwezi wa tano mpaka leo hata interview bado ilihali kulingana na taarifa ya serikali ilipaswa waajiriwa wawe kazini kabla ya mwaka wa fedha.kuchukua muda mrefu kwenye kuajiri kunaweka maswali hasa kujua hizi ajira nia za mwaka upi wa fedha.
Kuwa na subira wataita tuu
Punguza mchecheto!

Badala yake tumia nafasi (chance) hiyo ya kuchelewa kwao kwa wewe kujiandaa zaidi na zaidi; ushindani huwa ni mkubwa sana (watu huwa ni wengi)

Inasemekana kwa sasa wako katika mikoa na wilaya mbalimbali za Tanzania kusimamia michakato ya ajira za Halmashauri za watendaji wa vijiji, watunza kumbukumbu, madereva, na makatibu mahsusi (muhtasi)......zamu kwa zamu
 
PSRS ndio chombo kilichopewa dhamana ya kusimamia michakato ya ajira lakini kama sio kuelemewa basi itakua wana changamoto ambayo ni vyema waiweke wazi,mchakato wa ajira siku hizi umeanza kuchukua mida mrefu sana.mfano ajira zile za MDA's na LGA,s walizotangaza tangu mwezi wa tano mpaka leo hata interview bado ilihali kulingana na taarifa ya serikali ilipaswa waajiriwa wawe kazini kabla ya mwaka wa fedha.kuchukua muda mrefu kwenye kuajiri kunaweka maswali hasa kujua hizi ajira nia za mwaka upi wa fedha.
Una mhaho na mchecheto sana,shika jembe kalime na sio kulialia JF sijui mchakato unacheleweshwa,khaaaa
 
PSRS ndio chombo kilichopewa dhamana ya kusimamia michakato ya ajira lakini kama sio kuelemewa basi itakua wana changamoto ambayo ni vyema waiweke wazi,mchakato wa ajira siku hizi umeanza kuchukua mida mrefu sana.mfano ajira zile za MDA's na LGA,s walizotangaza tangu mwezi wa tano mpaka leo hata interview bado ilihali kulingana na taarifa ya serikali ilipaswa waajiriwa wawe kazini kabla ya mwaka wa fedha.kuchukua muda mrefu kwenye kuajiri kunaweka maswali hasa kujua hizi ajira nia za mwaka upi wa fedha.
Ndo usaili wako wa kwanza nini, kuitwa mtaitwa punguza munkari.
 
PSRS ndio chombo kilichopewa dhamana ya kusimamia michakato ya ajira lakini kama sio kuelemewa basi itakua wana changamoto ambayo ni vyema waiweke wazi,mchakato wa ajira siku hizi umeanza kuchukua mida mrefu sana.mfano ajira zile za MDA's na LGA,s walizotangaza tangu mwezi wa tano mpaka leo hata interview bado ilihali kulingana na taarifa ya serikali ilipaswa waajiriwa wawe kazini kabla ya mwaka wa fedha.kuchukua muda mrefu kwenye kuajiri kunaweka maswali hasa kujua hizi ajira nia za mwaka upi wa fedha.
usijali utaitwa mkuu
 
subirini sensa ipite .... tutakuiteni tu..

Mbona hamna subira nyinyi vijana? mtaweza za serikalini kweli?
 
Back
Top Bottom