PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udini

Status
Not open for further replies.
Kuna dini inapewa hadi ruzuku (mou), na nyingine haipewi. Kwa hali hiyo kweli wataacha kuwa wengi mashuleni na maofsn?

Usisahau benki zao pia zinatumika kutakatisha fedha haram.

Njoo na hoja zinazoeleweka na tena usituletee mambo ya taarab na umbea
 
nenda procurement utuleeteee na list yake hapa ndio utaona, nenda watu wanaopewa miladi ya kazi zenu kama wakandarrasi saizi mmepanga mlimani city Kwa mtu wenu tena,
 
Tupe total number ya wafanyakazi na mchanganuo wa idadi jumla ya wakristu na waislamu tutakuelewa
 
shida sio nafasi hizo za juu, udini upo nafasi za chini waislaam wanapewa kipaombele sana utakuta department nzima wapo waislaam tu.

Mleta mada kaweka ushahidi kamili, wewe leta ushahidi wako kama u mkweli.
 
Pia tutajie idadi ya waislam na wakristo walioajiriwa baada ya Dau kushika usukani!
 
Mimi nataka mtu aliyecheleweshewa au kupunjwa mafao yake kisa anaitwa John Marcus au Anna Thomas?
Naomba kuona hata dispensary iliyofadhiliwa na NSSF maeneo ambayo kuna waislam wengi kama kilwa, Lindi, Mtwara?
Watu wengi wanajifanya wanajua sana udini lakini ukiwahoji umejuaje dini yake anatumia jina tu kama kigezo. Sio Ramadhani wote ni waislam wala John wote wakristu.
 
huyo human resouce chiku ndio anaendekeza udini cv za akina jihn na njiseph anazitupia kwenye dust bin
 
  • Thanks
Reactions: G12
kabisa kabisa

na hilo tumeliona hapa majuz,

we si umeona ile list ya watu waliovuna mabillion ya ile pesa ya escrow??

woote ni wao tuh,

tena hadi maaaskofu wao sasa wameingia uwanjani,,

mimi nakuambia umaskin wa taifa hili kanisa katoliki lina husika kwa kias kikubwa kabisa

wamelifilisi taifa hili

Hebu nitumie namba ya shehe anayeuza majini ya kipemba
 
We kajamaa una akili kama za kenge unawaza tu udini unaona muislamu anavyotufisadi nchi pale magogoni.
 
Huwezi kutetea hoja ya udini kwa kutumia list tu? Lazima uhoji wahanga wenyewe ndiyo wenye majibu. Kama kweli NSSF kuna udini ni heri muache mara moja, ile sera ya kipuuzi 50/50 ni ya kishenzi na haya ndiyo madhara yake.Tunataka dini isiwe kigezo bali wasifu wa kitaaluma.
 
shida sio nafasi hizo za juu, udini upo nafasi za chini waislaam wanapewa kipaombele sana utakuta department nzima wapo waislaam tu.
Mkuu ni vyema ungeweka ushahidi wa data ni kuliko kuja na maneno watupu, tuambie hizo departments zipi tuziweke hapa ukumbini.
 
Hivi watangazaji wa tv hasa hizi kubwa(itv,star tv,chanel 10 na tbc) hazinaga watangazaji wakike waislam? Sijawah ona mwanamke kajistr anasoma taarifa ya habari, au vigezo na mashart haviruhusu?

Wamejaa kibasila wakijifungua pacha na kujisitiri kwao
 
Mimi nataka mtu aliyecheleweshewa au kupunjwa mafao yake kisa anaitwa John Marcus au Anna Thomas?
Naomba kuona hata dispensary iliyofadhiliwa na NSSF maeneo ambayo kuna waislam wengi kama kilwa, Lindi, Mtwara?
Watu wengi wanajifanya wanajua sana udini lakini ukiwahoji umejuaje dini yake anatumia jina tu kama kigezo. Sio Ramadhani wote ni waislam wala John wote wakristu.

Mkwe wa rais fisadi la Escrow Albert Marwa ni mwislamu swafi tena swala tano.
 
1.rais jakaya kikwete -muislam
2.fist lady-muislam
3.makamu wa rais-muslam
4.jaji kiongozi -muislam
5.jaji mkuu -muislamu
6.rais zanzibar-mislam
7.makamu wa kwanza rais znz-muislam-
8.makamu wa piliznz -muislam
9.CAG muislam
10.bossTISS- muislam
ahahahahahah
 
Huwezi kutetea hoja ya udini kwa kutumia list tu? Lazima uhoji wahanga wenyewe ndiyo wenye majibu. Kama kweli NSSF kuna udini ni heri muache mara moja, ile sera ya kipuuzi 50/50 ni ya kishenzi na haya ndiyo madhara yake.Tunataka dini isiwe kigezo bali wasifu wa kitaaluma.
Tuwekee basi huo udini wa NSSF watu wajue.
 
jamani NSSF kuna udini....vp LAPF, PSPF, PPF, Bandar, PCCB

leten data mfano huu uliowekwa hapo juu

amasivyo mtakuwa mnapayuka mna ashk majnun
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom