Wat is dat???
Nadhani anamaanisha Play Station toleo la 3. Sina hakika huo muda wa kutumia hiyo PS3 nitatoa wapi...U do not know wat is a ps3? OMG!
Sidhani kama kila mtu ajua kila kitu mazee! Mwingine waweza kukuta yuko field tofauti na hobbies tofauti... kina sisi tulishazoea watoto wa kishua ni wa Play Stations!how much mkuu!!!
Dunia ya sasa mtu mbaye hajui PS3 achana naye! .. andika bei
Ahahah! bei una bargain mwnywe,inanzia 700tsh padi mbili 250GB HDD,game za cd 4 na za ku install 10how much mkuu!!!
Dunia ya sasa mtu mbaye hajui PS3 achana naye! .. andika bei
Wat is dat???
Ahahah! bei una bargain mwnywe,inanzia 700tsh padi mbili 250GB HDD,game za cd 4 na za ku install 10
kaka Me Nataka Za Ku INSTALL NTAPATA WAP Me Version yng NI 3.55 Na2mia GAIA MANAGER PLZ NSAIDIE NUMBER YNG HII 0716033683 NTUMIE MSG NTAKUPGIA TUONGEE OK BRO THNX ME OMAR
Ni pm if interested..
Nadhani anamaanisha Play Station toleo la 3. Sina hakika huo muda wa kutumia hiyo PS3 nitatoa wapi...