Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,716
- 15,277
Anaehitaji Ps2 ts in Good condition Pad transparent memorycard unapata na cd 1 bure
mie ninayo ps2 silver slim nakupa 4 games free 64mb memory card na one joystick kwa laki na sabini tu,if interested call 0713388226
Sio mbaya,
But why unatumia tangazo la mwenzako kujinufaisha??
Sio mbaya,
But why unatumia tangazo la mwenzako kujinufaisha??
kwa 140 unapata ps2 kubwa pad zake transparent memory card bado mpya cd 1 na hand bag yake nauza coz nw mwendo wa ps3 0713522445
Sasa we unajua ni mwendo wa PS 3 unataka kumuuzia nani PS 2?
anaehitaji kama wewe haikuhusu kaa kimya
Jifunze kuandika matangazo kistaarabu wewe dogo
kwa 140 unapata ps2 kubwa pad zake transparent memory card bado mpya cd 1 na hand bag yake nauza coz nw mwendo wa ps3 0713522445
Kula 90 kaka... Am serious