Prove Me Wrong: Kwamba 85% ya wadada wanaopatikana humu JF ni Wabaya Wa Sura adi Maumbo

Hahaha hahah Nimekua nikianguaga kicheko sana nikiona kuwa **** mchizi umu anajitia ujaja akijiongeza kwa watoto wa kike ambao kimsingi huwa sanalinga sana humu kwakuwa tu atuna access ya kuwaona ...

Sasa ndugu zangu mnatakiwa kufahamu kwamba wachina wengi ambao mnawaona umu wakilinga na nyie mkidhini kuwa ni mapini ( wazuri wa kuvutia sura adi shape zao) kuwa Ni wabaya kinoma na pengine ukiwaona unaweza ata ukajichekaa kuwa ni mjinga kwa kuzania kitu ambaeho sio kweli ....

Takwimu zinaonesha 85% ya wasichana ambao wako humu ni WABAYA KICHIZI YANI

JIANGALIE KAMA UNATAFUTA MLEMBO HUMU HAHAH
Acha ku guess. Utumbo.
DREAM BIG,THINK BIG
 
Naona ugly clan mko up in arms
 
Back
Top Bottom