Property Selling and Letting - Ground Rules

ExpertBroker

JF-Expert Member
Jun 1, 2009
454
107
Hello JF members I salute!

I,ve been seeing a lot of adverts here at JF platform from real properties to personal properties like cars e.t.c, e.t.c

The recent one is from the New JF member, Maturo, who has a house to let.

The only challenge with JF advertisment is the need for photos and pricing.

Normally in selling or letting of a property on behalf of a Landlord/Landlady, there are two conditions involved, you may either be given a sole mandate to sell/let a property exclusively for a certain period of time, say three moths to six months, and in that even if the property is sold by any other person apart from the agent in contract the latter will still be paid commission. This is because if you give me a sole mandate I will be able to put some costs like doing advertisment in news papers, Tv, displaying photos like here at JF, and the like. The other condition is that the deal is open to any Dalali, no commitment to agents. Naangaika namleta mteja naambiwa nyumba imechukuliwa jana ama asubuhi hii, na hapo mteja wangu katoka arusha purposely for the deal!!!!!!!

A good description of the inefficiencies of the property market is offered by Ratcliff (1975), who proposes that the "real estate market is notoriously imperfect; the product traded is highly differentiated, market information is incomplete and often unreliable, individual market decisions are not always prudent or rational, and buyers and sellers are not always willing." The chronic mismatch of supply and demand further creates cycles in which either buyers or sellers are dominant. Greer and Farrell (1984: 40) point out that the less efficient a market, the greater the degree of price-searching behaviour by participants. That is why the property market needs professional valuers.

Kuna mdau mmoja aliwahi changia hii point wakati kuna mada ya property market hapa JF

............Property market is notorious imperfect and it has got its unique features as compared to other type of investments. Ndio maana waweza kuwa unatafuta nyumba ya kupanga ukaenda let say kwa dalali mjini kule Kariakoo ama posta akakuleta nyumba ya mikocheni just behind the house you intend to vacate......

Naomba tu niwaelimishe wanaJF kwamba kama sina mkataba na mwenye nyumba, inakuwa ngumu kuweka picha kwani mdau mwingine anayeishi karibu na hiyo nyumba anaweza kuijua then kwangu ikawa imetokaa kwani sitawezapata chochote!

Samahani kwa msg ndefu. +255754 858 245
 
Last edited:
Duh nadhani kwa kuanzia tafuta jinsi ya kuimarisha hiyo contract. Maana hakuna ambaye yupo tayari kusumbuliwa. Unaamua kwenda kuiona hiyo property unakuta kituko au unaikuta ipo nje kabisa ya matakwa yako. Jitahidi uadvance biashara yako. Maana kwa Tanzania though kuna company zinafanya vizuri bado kuna utapeli saana na hao maajent ndio wanafanya bei ziwe kubwa. Lakini mie naona ni house burble at any point in time lina busrt
 
What do tou mean by kuimarish ahiyo contact mkuu Bnhai?

Naomba nikuarifu tu kwamba I am a graduate Land Economist with knowledge and experience in property market. I am always selective on type of properties, and I help in doing a due diligence before you commit yoursely to pay for a property in question.

Kuhusu ma-agents kufanya bei kuwea kubwa, nakubaliana na wewe, bt hawa ndio wanaotuaribia kazi, kwani unapopandisha bei unreasonably, property inakaa sokoni kwa muda, na either itauzwa na gaent mwingine ama sole mandate period itatimia bila kufanya biashara.

Neverthless, it is upon the buyer to bargain, kwani the property market price will eventually be determine by an equilibrium price between a Willing buyer and a Willing seller. Siamini kama unaweza ukalipa bei ambayo hujarizika nayo, there is no fixed price in buying real property.
 
Naomba tu niwaelimishe wanaJF kwamba kama sina mkataba na mwenye nyumba, inakuwa ngumu kuweka picha kwani mdau mwingine anayeishi karibu na hiyo nyumba anaweza kuijua then kwangu ikawa imetokaa kwani sitawezapata chochote!

kama hauna mkataba na mwenye nyumba kwa nini unaitangaza......
hata kama una mkataba na mwenye nyumba kwa ni property haiwezi kuwa multi-listed
huyo mwenye nyumba hawezi kukupa exclusive rights hata siku moja...

wewe ni expert -broker lakini unashindwa kuelewa kuwa nyumba moja inaweza ikatangazwa na watu tofauti
nyumba moja inaweza ikawekwa kwenye agency 5 au 10, inategemea na nani atakaye close the deal, atakaye close the deal ndiyo winner...
picha ni lazima katika mauzo hasahasa kwenye matangazo ya online
 
SEMILONG, Sijakuelewa unamaanisha nini, nilifikiri maelezo yangu yamejitosheleza! Labda sikuelezea naongelea contract ya aina gani, assuming it will be understood. .........A contract can be a formal or legally binding agreement, e.g. one for the sale of property.

Kuhusu naitangaza ama siitangazi, nilikuwa naongelea suala la costs involved, ndo maana naiweka hapa jamiiforums ama kwenye free classified adverts ambapo silipii costs of advertisment! I was actually talking on the binding contractor which encourages me to put up my energy and resources to meet the sole mandate fixed time.

Unaposema property lazima kuwa mult-listed, nafikiri hili nililiongelea kama uonavyo hapo nchini....... I you are a Valuer or a property Agent specialist, utakubaliana na mimi, sikwamba ni mtazamo wangu, this is how it is operated globally, watembelee Knight Frank pale International House Floor ya tatu usikie, na this is an International; UK based real estate specialist

Normally in selling or letting of a property on behalf of a Landlord/Landlady, there are two conditions involved, you may either be given a sole mandate to sell/let a property exclusively for a certain period of time, say three moths to six months, and in that even if the property is sold by any other person apart from the agent in contract the latter will still be paid commission. This is because if you give me a sole mandate I will be able to put some costs like doing advertisment in news papers, Tv, displaying photos like here at JF, and the like. The other condition is that the deal is open to any Dalali, no commitment to agents. Naangaika namleta mteja naambiwa nyumba imechukuliwa jana ama asubuhi hii, na hapo mteja wangu katoka arusha purposely for the deal!!!!!!!

So, if you read thsi between the line, utakubaliana na mimi kwamba sishindwi kuelewa kwaba nyumba haiwezi kuwa na more than one Agent. Properties nyingi zinazouzwa na Embassies hapa Dar kwa mfano, hawezi kuiuza through multiple agents, wana-commision one Agent na hata mteja akija direct wanamtuma direct kwa Agent

TUKUBALIANE TU KWAMBA HAPA BONGO HII NI ARRANGEMENT TOFAUTI KWANI MWINGINE NYUMBA YAKE IKIWA DISPLAYED ANAHOFIA NDUGU WATA-LINE UP KUDADAI CHOCHOTE.
 
Hello JF members I salute!

I,ve been seeing a lot of adverts here at JF platform from real properties to personal properties like cars e.t.c, e.t.c

The recent one is from the New JF member, Maturo, who has a house to let.

The only challenge with JF advertisment is the need for photos and pricing.

....Naangaika namleta mteja naambiwa nyumba imechukuliwa jana ama asubuhi hii, na hapo mteja wangu katoka arusha purposely for the deal!!!!!!!

Naomba tu niwaelimishe wanaJF kwamba kama sina mkataba na mwenye nyumba, inakuwa ngumu kuweka picha kwani mdau mwingine anayeishi karibu na hiyo nyumba anaweza kuijua then kwangu ikawa imetokaa kwani sitawezapata chochote!

Tukubaliane tu kwamba hapa bongo hii ni arrangement tofauti kwani mwingine nyumba yake ikiwa displayed anahofia ndugu wata-line up kudadai chochote.
Mkuu ExpertBroker,
Mbona kama unatafuta excuses kinamna? Ningekushauri utafute njia mbadala ya kukabiliana na challenge uliyotaja badala ya kukwepa kuweka picha online.

Huyo mdau uliyemtaja, naye ni professional valuers au ni "mkaa kijuweni"? Kwanini mkaa kijuweni aruhusiwe na mwenye nyumba kuleta mteja? Mambo ya kienyeji haya, kwa nini kipengele kinachohusu hili hakipo kwenye mkataba?

Ipo sababu ya ziada kwanini hamtaki kuweka picha online. Most people know this already.
 
What type of agreement can you have with the estate agent

If you use one estate agent to handle the sale, this is known as ‘sole agency'. It is usual for the agreement to state that commission is only paid to the estate agent if they sell the property. If you find a buyer yourself, usually you don't have to pay commission to the estate agent. However, if you have an agreement which gives them 'sole selling rights', the estate agent is the only person who can sell the property. You will still have to pay the estate agent, even if you find the buyer yourself.
If you appoint two or more estate agents to act together for you in selling the property, this is known as 'joint agency' or 'joint sole agency'. The estate agents involved share the commission when the property is sold regardless of which estate agent actually finds the buyer. The commission for the joint agency agreement is usually higher than for a sole agency. If you appoint two or more estate agents independently, but the commission is only paid to the estate agent who finds the buyer, this is known as multiple agency

source citizen advice bureau
 
Mimi ni Real Estate Broker mzoefu. Nina maana nimeifanya kazi hii kwa muda sasa. Uzoefu nilioupata katika hizi kazi katika eneo la mikata upangishaji au uuzaji, wabongo wengi wanapendelea mikataba ya mdomo kuliko mikataba ya maandishi. Ukiwapatia aina ya mkataba unaitwa kwa kimombo'' EXCLUSIVE RIGHT OF SALE CONTRACT''
ndiyo wanatimua mbio kabisaaa! katika aina hii ya mkataba, ikiwa mali imefanikikishwa kuuzwa au kupangishwa ndani ya muda wa makubaliaono na muda wa ziada kwa juhudi za mmiliki au broker/agent, broker atalipwa kamisheni kama kawaida. kawaida wamiliki wengi hawatilii maanani na kutilia uzito huduma ya broker/agent ya kuaandaa maelezo, kushawishi wateja, safari zinazogharimu wakati wa kuandaa, kutangaza, kuzungumza na wateja mmoja mmoja au taasisi hatimaye kufikia mauzo. Kawaida huwa wanachukulia kazi hiyo kuwa ni rahisi sana. kazi ya kushawishi mtu kununua kitu si ndogo hata kidogo pamoja na uhitaji anaokuwanao. Nimeambanisha aina ya huo mkataba usome ujionee mwenyewe. Huko majuu wao wanaini bila mikwaruzo kwani wao uelewa kuhusu huduma ya broker. Nadhani kwa leo maoni hayo yanatosha. Tutaonana wakati mwingine. By kitomayi
 
Attachments

  • EXCLUSIVE RIGHT TO SELL 1.doc
    30 KB · Views: 58
As we are in the same industry, nakushauri utumie standard contracts zinazotambulika kisheria hapa Bongo, b'se this seems like downloaded! Unawezani-PM pia tubadilishane mawazo Mkuu!
 
Mimi ni Real Estate Broker mzoefu. Nina maana nimeifanya kazi hii kwa muda sasa. Uzoefu nilioupata katika hizi kazi katika eneo la mikata upangishaji au uuzaji, wabongo wengi wanapendelea mikataba ya mdomo kuliko mikataba ya maandishi. Ukiwapatia aina ya mkataba unaitwa kwa kimombo'' EXCLUSIVE RIGHT OF SALE CONTRACT''
ndiyo wanatimua mbio kabisaaa! katika aina hii ya mkataba, ikiwa mali imefanikikishwa kuuzwa au kupangishwa ndani ya muda wa makubaliaono na muda wa ziada kwa juhudi za mmiliki au broker/agent, broker atalipwa kamisheni kama kawaida. kawaida wamiliki wengi hawatilii maanani na kutilia uzito huduma ya broker/agent ya kuaandaa maelezo, kushawishi wateja, safari zinazogharimu wakati wa kuandaa, kutangaza, kuzungumza na wateja mmoja mmoja au taasisi hatimaye kufikia mauzo. Kawaida huwa wanachukulia kazi hiyo kuwa ni rahisi sana. kazi ya kushawishi mtu kununua kitu si ndogo hata kidogo pamoja na uhitaji anaokuwanao. Nimeambanisha aina ya huo mkataba usome ujionee mwenyewe. Huko majuu wao wanaini bila mikwaruzo kwani wao uelewa kuhusu huduma ya broker. Nadhani kwa leo maoni hayo yanatosha. Tutaonana wakati mwingine. By kitomayi

Still, not so much of an excuse, mie mbona ninasaidia kuwauzia watu na wananipa commision kama kawaida, ila kwavile ninaowapeleka ni ndugu na friends mara nyingi ile commision ndo kama inapungua bei ya kiwanja/ nyumba/vyumba. sio expert lakini ninaifanya almost moer than 2yrs now na bado kuna wengine wananifuata ila niko firm, sio lazima nipokee commision yao ila niwe na uhakika wa nani anayeuza, sitaki utapeli na niwe free kupeleka mtu hapo. kama wanakubishia basi endelea kwa mwingine kuliko kufanya biashara na mtu ambaye ni double standard (anakupa wewe kazi na mtu mwingine)
Kingine nyie broker mnafanya kwa gharama kubwa sana kiasi mwenyewe pia anaona bora asikupe full consent maana mwisho wa siku mnaweza mzunguka kwa mteja wa bei ndogo mno (mkagawiwa 10%) na still commission italipwa, kwahiyo kuweni wakweli na pia waaminifu otherwise ndo mtu hajifungi na makaratasi ni mdomoni tu.
 
kama hauna mkataba na mwenye nyumba kwa nini unaitangaza......
hata kama una mkataba na mwenye nyumba kwa ni property haiwezi kuwa multi-listed
huyo mwenye nyumba hawezi kukupa exclusive rights hata siku moja...

wewe ni expert -broker lakini unashindwa kuelewa kuwa nyumba moja inaweza ikatangazwa na watu tofauti
nyumba moja inaweza ikawekwa kwenye agency 5 au 10, inategemea na nani atakaye close the deal, atakaye close the deal ndiyo winner...
picha ni lazima katika mauzo hasahasa kwenye matangazo ya online

Huyu ExpertBroker ni mbishi sana. Ubishi wake umenifanya nifuatilie posts zake, nimegundua ana personality disorder.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom