Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Mpaka Tume ya kurekebisha katiba imalize kazi katika kipindi cha mwaka mmoja na nusu Professa Baregu atakuwa amefuta chozi la kutupiwa virago vyake pale UDSM na hii serikali..........maana mlo wa Tume unazidi maradufu mshahara wa professa wa chuo kikuu kama UDSM...........In life anything is possible....na hili tukio linanikumbusha ya kuwa in life friends are temporary but interests are permanent..............