Profesa Lipumba akutana na waandishi wa habari kukanusha kuhusu kuitishwa kwa baraza kuu Zanzibar

Wala asipate shida kesho wabunge wote wana jiuzulu kupinga bunge kufanya kigaragosi
Hio itamyima hao wanunge wa ccm kuingia bungeni
Uchaguzi utarudiwa cuf tutaunga mkono na kuinhia chama siri yetu
Cuf itaendelea na mapigano mahakamani
Pesa za kuendesha kesi za lipumba zitatoka lumumba
Wakichoka watampa cheo au wata mtupa kama kawaida
Cuf kukosa ubunge kutetea haki yao sio mara ya kwanza....hivyo tayarisheni bajeti za uchaguzi mpya
 
Naona sasa Prof. Lipumba kaamua kusafisha chama. Katika mkutano wake leo na waandishi wa habari kaahidi kufukuza wabunge wengine 6 wa majimbo mbalimbali kutoka Tanzania Bara.

Pia kalipongeza bunge na Tume ya uchaguzi kwa kuchukua hatua haraka kwamba taasisi hizo zinaendana na kasi inayotakiwa kwa sasa...

Lipumba kawaonya wabunge wengine na viongozi wanaofikiri yeye ni wa mchezo. Anasema muda huu ni wa kujenga chama hivyo hatataka upuuzi wowote mbele yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeeeebah,hataki mchezo tena.

Back
Top Bottom