Shigganza
Senior Member
- May 24, 2018
- 160
- 412
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Kitila Mkumbo Kupitia Akaunti yake ya Mtandao wa Twitter Ametangaza katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa Kufanyika Oktoba Mwaka huu.
Uamuzi huo ameutoa wakati akijibu swali lililoulizwa na Mwandishi wa Habari Ezekiel Kamwaga.
Hata hivyo hajabainisha jimbo atakalogombea, ingawa ameeleza itakuwa mahala ambapo ataongeza mtaji na nguvu ya CCM.