Huyu ana nafasi kubwa but he has done nothing 4 his country!i do not support this MZEE kwenye hii post!
Mzalendo MwanaFalfasa;
Asante sana kwa kutukumbusha.
Details na CV ya Professor Muhongo, zinaweza pia kupatikana katika link hii hapa chini:
https://www.jamiiforums.com/habari-...go-suitable-candidate-position-dg-unesco.html
huyu jamaa anahitajika awe waziri wa nishati na madini, nafikiri ndo jk ana wazo hilo. nampongeza, arudi tu aje atumikie taifa badala ya kwenda kutumikia dunia.Hongera Professor Muhongo kwa kuteuliwa na Mh. Rais kuwa Mbunge.
Bila shaka Wizara ya Nishati na Madini utakabidhiwa.
Nakushauri tu, fumua fumua kila kitu na unda Wizara Upya. Of course kwa kufauata utaratibu wa Kisheria.
HiYyo CV yake mbona imekaa kidizaini dizaini. Unless imeandikwa na watu wengine lakini kama ni yeye ndiye aliyeiandika...mmmhhhh.....mambo ya familia kwenye resume yanakujaje sasa...
Halafu hakuna haja hata ya kuweka hiyo title ya u doctor wala u professor.
Superman hongera kwa utabiri maana imekuwa hivyo.Hongera Professor Muhongo kwa kuteuliwa na Mh. Rais kuwa Mbunge.
Bila shaka Wizara ya Nishati na Madini utakabidhiwa.
Nakushauri tu, fumua fumua kila kitu na unda Wizara Upya. Of course kwa kufauata utaratibu wa Kisheria.