Prof. Mwandosya amwomba Lowassa kumuunga mkono

Acha mbwembwe dogo, hivi unataka kudanganya umma kuwa Lowassa ana afya nzuri? Hivi bado tu hujaona zile videos zinazosambaa zijimuonesha Lowassa akianguka???

Tanzania ya leo si ile ya 2005 ampapo walichagua mtu kwa sababu ya sura:sly:

Utakuwa na mimba ya macho wee...!!! as well fistula victim...!!

We don't work with photoshop...!!!

It seems uko kichina china...!!! Eti 2005 Mwl. Nyerere alisema SURA...!? Wee peleka SURA au hela zako kama HATA KURA MOJA utapata... hata uhonge ngono, hupati kura... KURA NI NYOTAAAAAA.... ni mpango wa Mungu... Sio sura, kakodi ubongo ww..!!
 
Hapa utakuwa umeandika huku unakojoa, heby rudia kusoma tena upuuzi ulioandika hapo!

Nani amemtaja Mwl Nyerere???

Nyambafu!
 
Lowassa kama kweli anataka kuishi vizuri ni bora akawekeza nguvu kwa Rais mtarajiwa Brigedier Jaji Augustino Ramadhan na Makamu wa Rais Charles Makongoro Nyerere.Akijifanya kichwa maji siku zake za kuishi maisha yenye utulivu uraiani zinahesabika.
 
Hapa utakuwa umeandika huku unakojoa, heby rudia kusoma tena upuuzi ulioandika hapo!

Nani amemtaja Mwl Nyerere???

Nyambafu!

Ur confused and defused at the moment, i see...!!!

Tht statement ni Mwl. Nyerere alisema ukiwa unampenda sbb ya SURA KANYWE NAE CHAI... and tht was in 1995... na alimlenga EL.. sbb chaguo la Mwalimu back in 1995 ni Mkapa... ila EL and JK ndio walikuwa very very strong...

Nothing u know, i am arguing with politically zero brained...!!!
 
Lowassa kama kweli anataka kuishi vizuri ni bora akawekeza nguvu kwa Rais mtarajiwa Brigedier Jaji Augustino Ramadhan na Makamu wa Rais Charles Makongoro Nyerere.Akijifanya kichwa maji siku zake za kuishi maisha yenye utulivu uraiani zinahesabika.

Jaji ramso awe raisi? Makongoro makamu ? Kweli nchi imeoza hiii
 
Inamaanisha Lowassa anakatwa! Pamoja na Membe naye anakatwa. Asilimia kubwa ya CCM wanakatwa!
Hata usingesema, ni jambo lililo dhahiri kwamba asilimia kubwa ya watia nia CCM watakatwa. Kama waliochukua fomu ni 37, kati ya hao mmoja tu atapitishwa na wengine 36 watakatwa, huoni hapo kuwa asilimia kubwa watakatwa? Hata usingesema, ni jambo dhahiri
 
Kwanza acha umbea... kijana mdogo ukiwa mbea, ukiwa mzee utakuwa mchawi....

Mwandosya hana mvuto hata 10% ya Lowassa kisiasa...wala sio mtendaji...!!

Ni Prof. uchwara.... hana credibility hata kidogo tu ya kumwongelea Lowassa, as well UHAI WA CCM UKO KWA LOWASSA KWA SASA...!!! Sio yoyote yule...!!!

Huyu, hata kwao Mbeya ni mzigo, Lowassa kapata wadhamini elfu 53 Mbeya hadi fomu zimeisha.... Mwandosya kapata wadhamini 2,800 tu... wapi na wapi..!?

Naona anajikojolea kabla EL hajaanza kampeni, sbb CCM haiwezi mkata EL...!!

Watia nia wengine wote are weak and unlikable by public...hata 10% ya EL hakuna mtia nia anapendwa na wananchi kama EL...!!!

Ukitaka kuona CCM yangu inakufa na kufutika, wamweke mtu mwingine apart from EL... itakuwa ya KANU..!!

unaongelea credibility ipi mkuu ?
 
Ni kosa kubwaa kumlinganisha Mrema na Lowassa...!! Hili kosa litaizika CCM haraka sana, i swear...!!!

Wakati wa Mrema, Nyerere alikuwa hai, alikuwa watu bado wana imani nae sana sanaaaaa, na ndie aliyefanikisha Mkapa kushinda...!!!!

As well, nyakati ni muhimu sana, hivi sasa CCM ikicheza tu na Lowassa, kuna UKAWA.... Lowassa aki team up with UKAWA, which is likely possible kama akiachwa, na kumbuka ataondoka na wabunge wa CCM si chini ya 200 kuhama nao, so wabunge 200 wa CCM akihama nao wakawa TEAM MOJA NA UKAWA....nasema CCM ndio kwaheriiii, burianiiiiii....R.I.P.... tunakulia wali na soda...!!!

So no discussion, ni EL tu...

...inaonekana katika hiyo team yenu,wewe FUNGU lako ni kUBWA,maana una nguvu kweli!
 
Back
Top Bottom