Prof Muhongo; Formular ya kuachana na Umaskini

kidesheni

Senior Member
Oct 30, 2012
178
35
FORMULA YA KUACHANA NA UMASKINI: Nchi zilizofanikiwa kutokomeza umaskini zimetumia formula ifuatayo:

Mafanikio Makubwa Kiuchumi = Maarifa (Sayansi) +Teknolojia+Ubunifu+Raslimali Fedha + Raslimali Watu. Elimu yenye uelewa mzuri, kilimo cha kisasa, afya bora, mishahara mizuri na pensheni nzuri, miundombinu mizuri ya uchukuzi na mawasiliano, masoko ya bidhaa zetu, nk. vinategemea formula hiyo.

Watanzania tuachane na umaskini kwa kutumia formula hiyo.
 
Kuu, mwambie afafanue yafuatayo:
1 tofauti ya hiyo fomula na ile ya Nyerere ya ..."Ili tuendelee tunahitaji Ardhi, Watu, Siasa safi na Uongozi Bora" otherwise atueleze kwamba formular zote mbili zitumike.

2. Application ya hiyo fomula yaani mpango mkakati wa kuitumia.

Meleze pia kwamba raia wa kawaida tunamkumbuka na pia tunamuomba akachukue fomu kwani siyo lazima tumfuate kwake ndipo afahamu kwamba tumemuomba.

Mwisho mwambie ampelekee Waziri Mpya wa Nishati na Madini fomular ya kuzuia mgao wa umeme na ile ya kuwezesha upatikanaji wa nguzo za kusambaza umeme.
 
Ufisadi, mgao WA umeme, wizi tegeta escrow, viongoz, kutalii na kutibiwa marekan, ukosefu WA ajia, viwanda vimekufa , mitaji vijana hawana,gharama za maisha , sasa hapo umasikin utaepukika vipi?
 
Kuu, mwambie afafanue yafuatayo:
1 tofauti ya hiyo fomula na ile ya Nyerere ya ..."Ili tuendelee tunahitaji Ardhi, Watu, Siasa safi na Uongozi Bora" otherwise atueleze kwamba formular zote mbili zitumike.

2. Application ya hiyo fomula yaani mpango mkakati wa kuitumia.

Meleze pia kwamba raia wa kawaida tunamkumbuka na pia tunamuomba akachukue fomu kwani siyo lazima tumfuate kwake ndipo afahamu kwamba tumemuomba.

Mwisho mwambie ampelekee Waziri Mpya wa Nishati na Madini fomular ya kuzuia mgao wa umeme na ile ya kuwezesha upatikanaji wa nguzo za kusambaza umeme.

Dah! Mkuu hapo kwenye mgao na usambazaji umenifanya nimkumbuke huyo jamaa...
 
Inataka mtu kuwa na ujasiri wa mwendawazimu kumpigia debe Muhongo kwa sasa!!!
 
Back
Top Bottom