Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Nimemsikiliza prof. kaongea kwa utulivu na busara kubwa angalau mwanzoni.Kajitahidi kutowaponda wapinzani wenzie wala kutoa maneno ya Jazba,ingawa katika kumalizia kashindwa tenganisha makundi yanayohitaji elimishwa ili majanga yasitokee.Kilichoniumiza ni kwamba hakutaja wahanga wa CUF katika matukio kama haya.Sijui ndio wameshawahaua na kuwaacha wapotee kwa kufa in vain? Vile vifo lazim avikumbukwe hata katik political arena kwani.Kama si waliowaua ndio wana makosa wabi marehemu wenyewe au hata viongozi wao au yote kwa pamoja.Vifo katik puplic au private si vyema kwa taifa hata kama hukumu ya mahamaka ni tofauti.
Kwa mtaji huu nadhani CUF haikuwa makini sana katika movements zao, na hivyo kufanya vifo vya wale jamaa kama kafara iliyomalizia mbio hapa chama kilipo.Hii itawafanya wazanzibar kuwa watu wa ajabu sana tofauti na wanavyoweza dhani.
Kingine nilichoshangaa ni BAN kwa polisi toka kwa waandishi wa habari kama ile ya CUF kuchapa waandishi.Sijui itakuweje katika TV.Ina maana polisi watakosa coverage kabisa?Itakuweje hiyo?