Prof. Lipumba ajitosa urais UKAWA

Personal issues ndio msahafu wenu Chadema. Kazi kupinga kila kitu isipokuwa posho za wabunge. Hata mna budget mbadala?Wapinzani wa Nchi zingine wana budget yao mbadala ya taifa ikiekelezea sera zao na jinsi watakavyo i finance hiyo budget. Nyie mmekalia wizara vivuli. Wewe umeona wapi kivuli kikifanya kitu isipokuwa kufuata muundo halisi tu.

Kama wewe ni mfuatiliaji wa Bunge utajua kuwa CCM hawatekelezi wala hawajali bajeti mbadala ya Upinzani. Kwahiyo ushindi wa UKAWA itakuwa nafasi ya Upinzani kufanya yale waliokuwa wanayapendekeza kila mwaka wa bajeti bungeni.
 
We ndo bure kabisa!sasa unamlaumu mtoa mada kwaminajili ipi?Hebu angalia Source ya habari bichwa maji wewe

Umevamia uzi, huu uzi uliletwa ana the big show mwanzo kwa vionjo vya kidini kwani ni kawaida yake. Baadae huu uzi ndio ukaunganishwa kama unavyouona. Alipoanzisha kabla ya kuunganishwa alibeba vionjo vyake vya kidini na mimi nilikuwa wa pili kwenye huo uzi wake wa kidini. Sasa mimi nilikuwa namjibu huyo the big show na sio baada ya kuunganishwa kwenye uzi wa magazetini.
 
Habari zenu jukwaani:
Mtazamo wangu juu ya mgombea Urais UKAWA!!
Ukawa ombi langu na mtazamo wangu tumsimamishe Prof Lipumba kuwa Rais:
Ana sifa na vigezo haitoshi ni fursa kwetu tukimpa nafasi hii ambayo Mataifa mengine mbali mbali na majira zetu humtumia kufanya mabadiliko na kupandisha uchumi. Tuliangalie kwa makini hili.
 
Habari zenu jukwaani:
Mtazamo wangu juu ya mgombea Urais UKAWA!!
Ukawa ombi langu na mtazamo wangu tumsimamishe Prof Lipumba kuwa Rais:
Ana sifa na vigezo haitoshi ni fursa kwetu tukimpa nafasi hii ambayo Mataifa mengine mbali mbali na majira zetu humtumia kufanya mabadiliko na kupandisha uchumi. Tuliangalie kwa makini hili.

Umeleta mada ya kinafiki ili watu watukane na kukashifu. ?
 
Lipumba akigombea sasa Dr..Slaa atamuambia nini Josefin Mushumbus wakati alishamuahidi atakuwa first lady? Unataka Dr.Slaa apigwe talaka?
 
kitendo cha prof. lipumba kuwa mgombea aliyegombea mara nyingi urais kuliko wenzake itakuwa ni tatizo. ccm wataitumia sana hoja hii ili kumwangamiza kwa wapiga kura. ccm kwa hoja hii watashinda asubuhi tu.
 
Shida ni kuwa CUF haijawekeza sana bara. Tusifanye hayo makosa. Mgombea urais lazima atoke kwenye chama chenye mtandao mpana zaidi.
 
sasa wewe umedhihirisha kuwa uelewa wako ni mdogo kupita kile kiwango cha udogo. kama unaufananisha urais na kula hapo naelewa kumbe mlengo wa mhusika ni nini. utakuwa hutumii kabisa akili kujitathmin kuwa mwaka 1 umepata 10, mwaka wa 2 unapata 7, mwaka 3 unapata 4 mwaka wa 4 unapata 1 then hujielew kama unapiga hatua kwenda mbele au nyuma? ungenyamaza tusingejua kuwa una ukosefu wa fikra akilini. sasa unaonesha kuwa hata yeye uwezo wake wa kufikiria unazidi kupungua. mara zote hizo anagombe kura zinazidi kuporomoka ina maana CUF hamna mtu mwingne isipokuwa yeye? au ndo kama ulivyosema lini mimi nilikata tamaa kula? anataka aende kula? LIPUMBA Alishapoteza sifa za kuwa mgombea Urais hilo halina shaka na ile video yake akisema alimwongezea kura KIKWETE ili asiangushwe ndo kabisa unaona huyu alidhaahirika kisaikolojia.
 
DSC00202.jpg
 
Back
Top Bottom