Prof. Kitila Mkumbo: Ni hatari kwa Kanisa kutoa kauli inayosababisha maumivu na mifarakano badala ya kuponya

Hali tete ina maana Prof Kitila ameamua kujichafua kama kama alivyoama chama kwa sababu ya tumbo? ule waraka ili uujibu lazima uwe na upako kutoka kwa Mungu
 
Na kuonesha kuwa kaupuuza,wanajibu Vijana kama akina mwakibinga.Saiz Mkumbo ataujibu.Waraka hauna hadhi ya kujibiwa na Rais.Na nafikiri wameona mbali sana,kujibu wa kkkt,ilitakiwa wajibu na TEC na ukitoka mwingine hivyohivyo.So serikal iendelee kuupuza hata chama naona kimeupuuza.Wajibu Vijana na watu wengine.
Ukipuuza kitu unakiongelea jukwaani!!!
 
Pakawa hawa dhalimu wawili waliojaa chuki za kutisha nafsi zao zinawasuta kuhusu maovu makubwa wanayoyafanya nchini ikiwemo mauaji.

Hii serikali kila mtu ni msemaji wa serikali.
Itakuwa vyema na sahihi kama kesho bwana yule angehudumiwa kama muumini wa kawaida humo makanisani sio ile 'piga magoti tukuombee sijui ongea na kanisa etc. bashite naona kanisa analiogopa alitembelea mengi mara nimeokoka mara mniombee kwishney. Karibia na baba nanihiiii ataungana naye
Mungu ashushe gharika tuanze upya
Gharika huwa ina kawaida ya kuangamiza waovu
 
Eti professor, huyu sindiyo yule aliyekuwa anapinga utaratibu wa mkuu kuteuwa walimu wa vyuo vikuu ktk nafasi mbalimbali serikalini kwa madai ya kuuwa elimu?Lakini alipoteuliwa yeye hakupinga,bali alifurahia.Hivyo basi si mtu wa kumsikiliza,bali ni mtu wa kumbeza maana anachoongea sicho anachomaanisha.
 
Tuaubiri hoja za kisomi,mbona watu mnaanza kushambulia kabla ya hata waraka kuja?
 
Habari wanaJF,

Habari nilizozipata hivi punde ni kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Kitila Mkumbo amemuandikia barua Askofu Mkuu wa KKKT, Frederick Shoo akiujibu waraka wa maaskofu hao uliotolewa Machi 24 mwaka huu..

Waraka wa Maaskofu wa KKKT ambao Prof. Mkumbo ameujibu: Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...
-------

FROM JF:
Ni kweli. Profesa Kitila Mkumbo ameithibitishia JamiiForums kuhusu waraka aliouandika kwa Maaskofu wa KKKT. JamiiForums itawasilisha waraka huo muda wowote kutoka sasa..
Huyu katibu mkuu wa wizara ya maji anadhihirisha kuwa utawala wa sheria sasa haupo. Chakujiuliza ni je, KKKT wametia chumvi kwenye maji? si wameelezea jinsi maji yalivyo kwa sasa yana ugwadu.
 
Du KATIBU mkuu wizara ya maji tena wa CCM kujibu hoja za maaskofu kweli kisu kimeingia kwa mfupa!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huyu katibu mkuu wa wizara ya maji anadhihirisha kuwa utawala wa sheria sasa haupo. Chakujiuliza ni je, KKKT wametia chumvi kwenye maji? si wameelezea jinsi maji yalivyo kwa sasa yana ugwadu.
Wametia aluminium sulphate bila chlorine.
 
Pia maaskofu wanawajibu kama RAIA wa Tanzania.
Kama wajibu wao ni wa kiraia waraka ungesema hivyo; ila kwa matumizi ya titles zao inamaana kwamba wanatoa waraka huo Katika capacities zao; hivyo moja moja kuchukuliwa kama kauli ya kanisa
 
Back
Top Bottom