Elections 2010 Prof. Baregu Ajibu Mapigo kwa Kinana na Makamba

CCM msitumie nguvu nyingi kwa vitu vilivyo wazi,jinamizi la ufisadi litawasumbua hata baada ya uchaguzi mkuu.Elimu yenu mpya ya kuhalalisha ufisadi ni kinyume cha imani za chama chenu.Ni vigumu kubinafisha akili za wananchi kuliko kubinafsisha migodi mikubwa ya mkaa wa mawe au ya dhahabu.
 
SUPERMAN unaonekana uko karibu na timu ya Kampeni ya CHADEMA, waamnbie kuwa Govy machinery inatumika kuwapotosha wananchi kuwa CHADEMA kwa kuweka hilo pingamizi inataka mishahar hiyo isitishwe. Hivyo watow ufafanuzi vizuri CHADEMA inapainga na nini kilikosewa. Wasoiwaachie waandishi wa habari bila ya kuwalisha vilivyo na makos yaliyofanyika kwa kuwa hata waandishi wengi hawajui separation of powers between the three organs State. Legisalature na Judiciary

Jatropha; tuko pamoja Mkuu.

Uzalendo na Maslahi ya Taifa Mbele!
 
Ushauri wangu kwa CHADEMA, watumie mbinu ya Bingu wa Malawi pale ambaye alitumia mikanda ya kampeni wakati Bakili Muluzi akimnadi kwenye awamu yake ya kwanza.

CHADEMA wao watumie mkanda wa JK akiwahutubia wazee wa DSM pale alipozikataa kura za wafanyakazi. Mkanda huo uchezwe kwenye kila kampeni za Dr Slaa, itasaidia kuwakumbusha wafanyakazi walivyokejeliwa na JK hivyo kuzidisha hasira zao na za wananchi kwa JK na CCM.
 
Safi sana,sasa hivi ni mwendo wa tit for tat.Hakuna kuwapa muda, wakituhumu tunajibu na kuwageuzia kibao hapo hapo.Njia hii ndo iliyomsaidia hata Obama kujisafisha kwa wamarekani pale Republicans walipokuwa wanafanya smear campaign.
 
Sasa hivi ni mwendo wa tit for tat.Wakituhumu tunawajibu na kuwageuzia kibao.Hii ndo njia iliyomsaidia hata Obama wakati wa kampeni zake.
 
Kiongozi wa Kampeni za CHADEMA Prof. Baregu amekanusha madai yaliyotolewa na CCM kupitia Meneja wa Kampeni za CCM Kinana na Katibu Mkuu wa CCM Makamba kuwa CHADEMA wametumia lugha ya matusi katika kuzindua Kampeni zao.


Akiongea na ITV katika kipindi cha Taarifa ya Habari leo saa 2.00 Usiku; Prof. Baregu aliweka wazi kuwa:




  1. :playball:
    CCM ni EPA
  2. Lugha iliyotumika katika Ufunguzi wa Kampeni za Chadema ni ya Uwazi Zaidi na si Matusi kama inavyodaiwa.
  3. CCM watofautishe kati ya Ukweli na Kutukana
  4. Tatizo lao kubwa nia Kashfa ya EPA
  5. Asema suala la EPA hata Mahakamani hazijaonysha Sura kamili


CCM ni EPA:playball:
 
Kwanza kabisa napongeza sana hizi harakati, pamoja ya kwamba mtaji mkubwa wa CCM ni upumbavu wetu wananchi. Tunawashukuru wapambanaji hawa wa Chadema kwa kujitoa Muhanga kuwapigania watanzania hawa hawa wanaoendelea kuwa mtaji wa CCM na watoto wao, yaani makamba na wanae, Kikwete na wanae kwa kodi zetu. Swala la TBC na sasa Habari leo lisifumbiwe macho, Tido na wanawe ashughulikiwe maana hizi ni kodi zetu, kiburi hicho wanachokitoa kwa kuwa tu walipewa kazi hizo wakati hata uwezo hawana ni tatizo kubwa. Basi kwa kuwa viongozi wa Serikali ndio wa CCM, basi hatuhitji kumpelekea kesi ya nyani ngedere, tuwashitaki kwa wananchi tuone kama kesho wataenda kazini. Msishange makamba kujilinganisha na wapambanaji wa Chadema, tena kwa elimu hiyo ndio culture yao, si ndio maana anamuona mgombea wake nae ni dokta? hawa watu hawaheshimu hata miaka wenzao wanayokaa darasani ndio maana hata wameshindwa kuboresha elimu, mwacheni aendelee na ushuzi wake mimi hauniumizi kichwa, mwacheni aharishe sana akidhania ndo keshafika, nimesikia akiongelea uaminifu na nimefurahishwa na Prof kumjibu kistaarabu ila hapa JF tutamjibu ki uwazi, hivi tukianza kutafuta uaminifu na mambo ya below the belt ni nani mwenye watoto kila mtaa? Hebu wanyamazishe vijarida vyao maana watu wako tayari wasifananishe hawa wapambanaji na Bashe hili taifa kubwa sio lele mama. Urais hauji kwa mabango wamesalimiwa tu ni hekaheka, huyo kinana nae utasemaje meli ni yako mzigo haukuhusu aangalie kubenea asije akalisikia hili, maana tunafahamu kinachoendelea na watanzania wa leo sio mapumbumbu, mchakato na uendelee...
 
jamani msituzingue na taarifa zisizojitosheleza tuwekeeni habari yote tufaidi hii taarifa haina uhondo tunaousikia kwamba ulitolewa na Baregu
 
Back
Top Bottom