OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,525
When the centre doesnt hold. . . . . . . . .
Katika hali ya kushangaza waziri wa ardhi bibi bomba anna tibaijuka amedai yeye na profesor muhongo bado wanaaminika sana na raisi kikwete na yeye binafsi hawezi kujiuzulu ila yupo tayari kurudisha fedha alizokwapua za escrow account.
Source- mtanzania
Mama Tibaijuka hana sababu za Kujiuzulu, huyu mama ni mwadilifu na mchapa kazi sana
Hiv ww unaipenda TANZANIA ?
Kwa moyo wangu wote
Azirudishe hizo fedha kwa kuwa tunazihtaj sana katika maendeleo ya hii nchi.
Bila Shaka we unaishi tu ila maisha yako yameshikiliwa na watu
Kumbuka kwamba fedha aliiombea shule akiwa fundraiser wa Barbro Johansson school na hayo yote yapo katika taarifa ya Balozi Rupia. Tusilazimishe tu mambo kwa sababu tunataka kuonekana kwamba tumeshinda. Suala la kumshupalia huyu mama wa watu lina sababu nyingine zaidi ya fedha za shule. Pesa hiyo pia asingeweza kuigawa ienmde popote kwa sababu ni ya shule ya Barbro na aliikabidhi kama lilivtotakiwa. Tuache ushabiki ambao hautusaidii lolote.
Watanzania tutafakari maneno haya ya tibaijuka" rais atanishangaa sana nikijiuzulu".
Mimi ni mtanzania mzalendo, sina ubia na mtu yoyote