Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,450
- 12,317
huu mchezo una chezwa teknikale sana wenye macho mabovu hawawezi kuona.
kwanini asirudi tu kufanyakazi UN?
Arudishe fedha zetu in good faith
kwanini asirudi tu kufanyakazi UN?
kuna taarifa jk aliwaomba sana wajiuzulu wenyewe ameanza werema nadhani huyu anafwata
Nani kasema kujiuzulu kwao kunatosha?
Tunataka kila mmoja afikishwe mahakamani kulingana na makosa yake.
Hili suala ni zito sana , Mr. Dhaifu asidhani this time kuna upepo utapita.
Mkuu huu moto hauwezi kuzimika kirahisi rahisi , hapa watu wanamsikilizia Mr Dhaifu tu muda wowote kinanuka tena.not in Tanzania
Mkuu huu moto hauwezi kuzimika kirahisi rahisi , hapa watu wanamsikilizia Mr Dhaifu tu muda wowote kinanuka tena.
Thubutu ...zilishaliwa in good faith
SAA tano Si ndio hii. Ama amegoma kuudhulia press conference