tete'a'tete
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 472
- 62
duuuuuuuuuuuuuuuuuuuu...hawa ndio wana JFs bwana...
Mkuu ni kwa manufaa ya wengine pia. Hii imekuwa ikilalamikiwa sana lakini inaonekana walalamikaji hawajui kiini cha tatizo. Natumaini watu kama akina Mwanaasha sasa watajua kwa nini tunapigania katiba mpya. Kutokana na privacy yake kuharibiwa na katiba hii mbovu, sasa watu watakuwa wanamfuatilia kwa karibu her next educational move. Lakini inaonekana kama baba yake hamind matokeo yake na wengine waliofeli, maana nimeona akimwaga mapongezi kwa mwanafunzi wa kike na kiume waliongoza kwa kufaulu vizuri.Jakaya Kikwete
By · Updated 6 hours ago
Congratulations - CSEE Best Students 2011. | Facebook
Nina wasi wasi na results zako za F4 pia.. !
Pengine mtoa mada alimaanisha kuwa badala ya kuanika majina, wangeweka namba tu za mitihani ya watahiniwa! S/he might have a point here tusimpuuze. Unless tuseme sheria hiyo aloiweka hapo haiwahusu wanafunzi wa shule (ambao kama watoto, consent yao ingepaswa kutolewa na wazazi/walezi wao)
I am in favor ya kutumia namba kuwakilisha majina kuliko ilivyo sasa.
Na hiyo DIV IV aliyopata ni baada ya kuwekewa private teacher aweze kumsaidia kwa masomo ya ziada aka tuition. By Feza standards huyu alitakiwa kutimuliwa shule akiwa Form III lakini juhudi za ziada zilibidi zitumike aendelee na hiyo shule. Baba na Mama hawakuwa na muda wa kufuatilia masomo yake, nakula nchi tu.
Baraza la mitihani wangetoa majibu kwa examination numbers. Unaondoa concerns karibu zote za privacy kwa kuwa atakayejua matokeo ni mwenye namba ya mtahiniwa tu.
Mtoa mada hasa point. Everyone has a right to privacy. It is a human right of everyone including the President's children. Lakini Tanzania, privacy law ni sawa na hakuna. Kwa mfano, I am sure utakuwa umeshapokea SMS kutoka makampuni ya simu usiku wa manane, unadhani ni ujumbe muhimu kumbe ni promotion tuu. Where is the privacy and the right to private life? Hakuna. Katiba ni mbovu na sheria nyingine ni mbovu sana.
Inawezeka kuna sababu ya msingi ya kupublish majina ya wanafunzi lakini nafikiri it is a wrong solution applied to the problem. Kadri services nyingi zinavyohamia online fraudsters watakuwa wanatumia identity za watu kufanya mambo yao. Possibly watatakuwa tayari wameshafanya.
It is sad to concede that in NECTA there is no comprehensive privacy legislation. To disclose the names and results of students NECTA go against the constitution of URT . It brings bad picture to see results of other students and a daughter of President of URT being disclosed without approval from a person concern.
Of course this does not mean that right to privacy is not recognized in Tanzania. The United Republic of Tanzania (URT) Constitution of 1977 as amended form time to times defines privacy as follows:
Every person is entitled to respect and protection of his person, the privacy of his own person, his family and of his matrimonial life, and respect and protection of his residence and private communications
Article 16(2) goes further stipulating that:
For the purpose of preserving the persons right in accordance with this Article, the state authority shall lay down legal procedures regarding the circumstances, manner and extent to which the right to privacy, security of his person, his property and residence may be encroached upon without prejudice to the provisions of this Article
Article 16(1) and (2) of United Republic of Tanzania Constitution of 1977 as amended from time to time provides for right to privacy. Article 16(2) of URT constitution provides for possibility of other laws to encroach the right to privacy. The said article stipulates clearly that the law maker will enact law to stipulate how privacy right may be protected, pursued or encroached by government agents.
Mytake; Mwanaasha atashitaki Necta?
:nerd:
Nawakilisha
It is sad to concede that in NECTA there is no comprehensive privacy legislation. To disclose the names and results of students NECTA go against the constitution of URT . It brings bad picture to see results of other students and a daughter of President of URT being disclosed without approval from a person concern.
Of course this does not mean that right to privacy is not recognized in Tanzania. The United Republic of Tanzania (URT) Constitution of 1977 as amended form time to times defines privacy as follows:
'…Every person is entitled to respect and protection of his person, the privacy of his own person, his family and of his matrimonial life, and respect and protection of his residence and private communications…'
Article 16(2) goes further stipulating that:
'…For the purpose of preserving the person's right in accordance with this Article, the state authority shall lay down legal procedures regarding the circumstances, manner and extent to which the right to privacy, security of his person, his property and residence may be encroached upon without prejudice to the provisions of this Article…'
Article 16(1) and (2) of United Republic of Tanzania Constitution of 1977 as amended from time to time provides for right to privacy. Article 16(2) of URT constitution provides for possibility of other laws to encroach the right to privacy. The said article stipulates clearly that the law maker will enact law to stipulate how privacy right may be protected, pursued or encroached by government agents.
Mytake; Mwanaasha atashitaki Necta?
:nerd:
Nawakilisha
How much are you paid to present this nonsense before great thinkers. Should NECTA have put public names of other students save the name you are defending. How could have NECTA officers know that the respective students is the daughter of the big weight? Had they done so then this institution could been reduced into an abolition. Now as long as all names have been publicised and you not see anything wrong with that then there is no sounding reason as to why the name of president's daughter has been publicised too despite her ugly results. Moreover, there are so many challenging issues we could air our views, opinion, recomendations and what have you and not this issue that to all intents and purposes does not hold water. Next time get your neighbour to assist you filter topics before putting them public
er
Hivi umesoma Act ya kuanzishwa kwa NECTA? Je, una uhakika kuwa registration fomu walizojaza kwa ajili ya kufanya mtihani hazikuwataka watoe permission kwa NECTA kutangaza matokeo publicly? Jifunze kufanyia kazi hoja zako kabla ya kukurupuka na ku-refer few documents badala ya set nzima ya documents relevant to support your claim!!!!!!!!!!
Duuuu watoto wote hawa niwa JK
Nakusihi kwa heshima zote uwe wakili wa mh.Pinda dhidi ya madaktari walio mlazimisha bila hiari yake kula matapishi yake leo 9/2/2012.mimi naweza kuwa waklili wake akitaka tena bure
Kwenye Katiba mpya tuweke kipengele mtoto wa Rais akifeli mtihani baba yake aachie ngazi :lol::eyebrows::embarassed2:
Pengine mtoa mada alimaanisha kuwa badala ya kuanika majina, wangeweka namba tu za mitihani ya watahiniwa! S/he might have a point here tusimpuuze. Unless tuseme sheria hiyo aloiweka hapo haiwahusu wanafunzi wa shule (ambao kama watoto, consent yao ingepaswa kutolewa na wazazi/walezi wao)
Huo mtindo wa namba ulishapitwa na wakati. Ilichobaki ni kuanikana tu.