Prince charles

zayat

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
337
42
Prince Charlesa litembelea Mirpur huko India wakati wa tetemeko la ardhi.Akakutana na mtu wamefanana sana kama pacha wake,akashtuka na kushangaa.
Kwa heshima na taadhima
Prince Charlesa:-Mama yako aliwahi kuishi au kuja Uk miaka ya 1947?
Jamaa:-Hapana lakini baba yangu alikua dereva wa Buckingham Palace miaka ya 1947
 
hah hah hah hah, aiseeee wakikusikia watu wa royal family, utaauwa kama princess Diana walivyomfanya, bora usitoe tena shiyo siri
 
Back
Top Bottom