Press release; onyo

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
7,515
6,489
Hili si onyo la kwanza ila msisitizo.

(1) Ni marufuku kugeuza au kupotosha mtiririko wa thread na kugeuza kuwa chumba cha kusalimiana au kupiga soga(chat room) sisizohusiana na hoja ya thread, unaruhusiwa kusalimia mara moja tu na sio kuendelea kuchat for some pages. Atakaekiuka onyo hili atakuwa ametenda kosa la jinai. Sio kosa la jinai kuchati kwa PM

(A) Adhabu/sentence; Kupigwa ban siku saba au faini ya $ 9.5 kwa kila thread iliyo nje ya mada inayozidi kiwango kinachobalika, yaani thread moja tu kusalimiana,

(B) Ukirudia kosa, faini ya $ 10.5 kwa kila thread inayozidi moja iliyo nje ya mada pamoja na ban ya siku 14

Note; The amount of fine is subject to change without prior notice( the notice may be available threreafter).

Isued by Chapa Nalo Jr
Mods-Kivuli
Signed; 3th Feb 2011.
 
Jamani, nawasalimieni wote mulioshuhudia wananchi wa masri wakiandamana kutaka rais wao wa maisha aondoke huku wakilindwa na dola: asalaam aleikum.
 
Faini tunaiwakilisha kwenye akaunti ipi? au tunalipaje nataka kujua
 
kwa sheria ipi mkubwa unatoa adhabu bila kumsikiliza mhusika??? kifungu kipi??? sema tu tuwe wastaarabu ama vipi manake hakuna kifungu kinachowabana kutosalimia na isitoshe mtoa mada mwenyewe kasalimiwa na kuhjibu aanze kujihukumu mwenyewe kwa kuwapeleka lunch golden tulip wanaJF wote walioshiriki ktk hii mada yake.
 
Watu bwana ukiwaambia usikojoe hapa ndio kwanza wanaleta hata mikojo ya mipombe ya mataputapu, ona sasa wamechakachua hata onyo!!

Jinsi ya kulipa; Wasilisha kwa Mods kabla riba haijapanda sana(kiwango cha riba ni siri ya uongozi)
 
hili ni angalizo zuri sana, lazima ifikie mahali tuheshimu threds, kuna PM ,kun aChart room , bado tu hazi toshi?
basi tutawaongezea na video room na conference room, okay?
 
Kama we hupendi weka onyo kwenye thread unazoanzisha...kuna wengine haiwasumbui kwasababu na wenyewe ni washiriki!Inawezekana sababu mojawapo ya wewe kuchukia ni vile watu wanasalimiana wao kwa wao na wewe husalimiwi!!Natumaini sijakukwaza!
 
Hili si onyo la kwanza ila msisitizo.

(1) Ni marufuku kugeuza au kupotosha mtiririko wa thread na kugeuza kuwa chumba cha kusalimiana au kupiga soga(chat room) sisizohusiana na hoja ya thread, unaruhusiwa kusalimia mara moja tu na sio kuendelea kuchat for some pages. Atakaekiuka onyo hili atakuwa ametenda kosa la jinai. Sio kosa la jinai kuchati kwa PM

(A) Adhabu/sentence; Kupigwa ban siku saba au faini ya $ 9.5 kwa kila thread iliyo nje ya mada inayozidi kiwango kinachobalika, yaani thread moja tu kusalimiana,

(B) Ukirudia kosa, faini ya $ 10.5 kwa kila thread inayozidi moja iliyo nje ya mada pamoja na ban ya siku 14

Note; The amount of fine is subject to change without prior notice( the notice may be available threreafter).

Isued by Chapa Nalo Jr
Mods-Kivuli
Signed; 3th Feb 2011.
peleka jukwaa jukwaa la utani... maana when it comes to enforement ya uyasemayo one would question the process... so it suits more to be a joke
 
Kama we hupendi weka onyo kwenye thread unazoanzisha...kuna wengine haiwasumbui kwasababu na wenyewe ni washiriki!Inawezekana sababu mojawapo ya wewe kuchukia ni vile watu wanasalimiana wao kwa wao na wewe husalimiwi!!Natumaini sijakukwaza![/QUOTE]

No! umenikwaza lakini sina la kufanya
 
Back
Top Bottom