Press conference: Lowassa apelekewa ujumbe mzito

Lowasa alihusika na ufisadi ujenzi wa jengo la ukumbi wa mikutano AICC?! Haya si yalijengwa Lowasa akiwa labda primary school? CCM msiruhusu wajinga kama huyu hoza kuvuruga watu. Lowasa atuhumiwe kwa haki si uzandiki kama huu.

Hata mimi hili limenitatiza kidogo maana Lowassa alikuwa mkurugenzi pale kati ya 1988 na 1991. Hili pekee limeondoa radha ya tuhuma zingine zote.
 
Ila njaa ni mbaya sana.yaweza ikakufanya hata ukaoga ama kujisaidia haja kubwa kwenye kadamnasi bila kujali madhara yake ili tu uweze kuipumzisha njaa yako. wewe dogo unakubalije kutumika kijinga hivi??!!! japo mimi simkubali Lowasa ama mwana CCM mwingine yeyote ila siwezi kukubali kutumika kijinga namna hii!!!! sasa mbona hukuongelea Richmond?!!! au kwa sababu unajua wana ccm wengi kama sio viongozi wote wa ngazi za juu za ccm walipiga wote Richmond na ulijua ukiongelea hilo utachafua hali ya hewa kwa kugusa hata wale wasiogusika na mwisho wa siku utakosa kote kote???!!! dogo acha unafiki!!
 
Nyie endeleeni tu kumchafua huyo mtu wenu lakini mjue akija kupitishwa na chama lenu la kifisadi mtapata kazi kubwa sana kumsafisha na itakuwa kazi nyepsi kwetu kumalizia pale mtakapoishia. Asanteni sana kwa kurahisisha kazi ya ukombozi.
 
Hakuna Chama wala kundi la watu litakaloungwa mkono katika uchaguzi wa mwaka huu kwa kumjadili mtu. Kwani, Dunia hii haina malaika wa kutuongoza, binadamu sote tunayo madhambi mengi. hata hivyo, Lowassa siyo mdhambi kiasi hicho unavyotaka kutushwashi tuamini. Mnacheza mchezo mbaya sana wa kukiangamiza chama. Tusipotezeane muda kwa upuuzi kwani kwa sasa ni wakati wa statistics za chama kimefanya nini na kinatarajia kuendelea kufanya nini.
 
Na ile elf hamsini 50,000 uliyopewa na Bashe uirudishe, mjinga wewe.......

Mkuu ocampo four kama ni kweli Bashe alimpa huyu mtu tsh 50000 ni vema ukasema ni kwa ajili ya nini, hapo juu pia umesema jamaa alikuja na proposal ili apate milioni kumi, tena alikuja Monduli. Umenipa maswali kadhaa hapa pia. Umekuwa ukija hapa jukwaani kama mtu wa karibu na unayefahamu mienendo ya Lowasa au Team Lowasa hivyo sitii shaka juu ya hizi tuhuma kwa bwana Hoza.
Hoja yangu hapa ni kama kweli Hoza alikuja na namna ya kupata milioni kumi, wangapi wameshakuja na proposal zao huko Monduli na wakaondoka na hizo m10? na je haya tunayoyaona ya misururu ya watu "Kwenda kumwomba" Lowasa agombee si mafanikio ya hizo proposal na m10? (just curious). Umenipa kitu cha maana sana kufikiria bwana ocampo four. Hope utaniweka sawa.
 
Last edited by a moderator:
Laaa! pamoja na mkuu wa kaya kuelezea adha za ofisi kuu bila faida zake, kumbe ofisi hiyo inavutia.
 
Vijana wa lowasa mmemwagika..na vijana wa kikwete na kund lake mmemwagika sisi CHADEMA na UKAWA twafuraia vita vya panz ushind ulikuwa 60% sasa mkiendelea iv mtaambulia vumbi.sjui km ccm itafksha wbunge 100 mwaka uu

Wakati ACT inawapumulia shingoni
 
Acheni kutumika kumchafua mtu. Inakuaje pamoja na kujua maovu yote haya bado CCM imekuwa ikimpa nafasi mbalimbali za kiungozi ndani na nje ya bunge tena akiteuliwa na wakubwa wa nchi?. Yawezekani hawa wapuuzi wakahici wanaitengeneza na kuijenga CCM kumbe mnaibomoa.
vipi mshirika wanamzoboa sio mbaya utampisha kwenye cheo chako cha uyatollah act
 
Wewe Comrade Francis Heri Hoza, unabwayabwaya, umekuwa mlevi, sijui umekula maharage ya wapi hayoo. Ni nani aliyekurogaaaaaaa.

Sasa naweza kuendela kusoma thread zingine. Nimeona nisilale bila kukwambia, nimekulipa cash,
Na ukomeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


 
Mtamuota sana EL,lakini kiukweli hakwepeki,
kama hamuamini ninachowaambia,jaribuni kumweka pembeni muone cha moto.
Msiogope kwamba atawalipa visasi maaqna mmemtenda ubaya mwingi.
Ila mafisadi wana mawili kubadilika au kuhama nchi,mnaopiga domo
nyie ni kutubu tu na kumwangukia,naona mwenezi wenu ameishaanza hiyo kazi.
Vinginevyo msipoteze muda wa kuzuia mafuriko kwa mikono.
 
Back
Top Bottom