President Uhuru Kenyatta is an angry man and 'distressed'.

i always see that in him too, i thought mayb am biased or something
serious he is not "ok":rolleyez:
 
kama wewe si critical thinker huwezi nielewa huwa siongei uongo no matter how harsh i might sound shughulisha ubongo wako na utajua msimamo na fikra zangu ziko wapi, asante kwa maoni yako lakini!

i support u dude, thats all about critical thinking man....come with ur hoja i come with mine and critically analyses and come to conclusion hahahahahahahahh u really bit'em...:A S 41:
 
i always see that in him too, i thought mayb am biased or something
serious he is not "ok":rolleyez:
kwa taarifa yako nina followers wengi ambao wanafuatilia mchanganuo wangu wa hali halisi ya uhusiano Jumuiyani! na wanadiriki kunipongeza! Ila pia nina wachache kama nyie ambao hamjui yanaloendelea hamko waerevu wa hali halisi! Si mbaya siku zote kwenye kundi la watu lazma tofauti ziwapo ila kidiplomasia hawa watu ni wabovu na tanzania imewaacha mbali sana! Hebu anglia Kikwete ametuma rambirambi wa kwanza tena J'mosi na pia Dr Buriani (balozi) ameenda kuchanga damu na amehimiza Watanzania kulipa Upendo kwa choyo, husda na chuki ya serikali ya sasa ya Kenyatta! Kama vile uhusiano uko 100% kawaida! Wapi Wanyarwanda? Wapi Waganda?

PICHA+No+2.jpg
 
Geza Ulole kwanza sijakuelewa pili,lazima ujifunze kutokukubaliana na watu hatufanani abadani so na mawazo yetu pia:eek:hwell:
 
Last edited by a moderator:
hahaha! Tanzania of all countries, Somalia is even better, you wait for that "matter of time "the truth Tanzanians are the worse people,

ati somalia is what?!!!!!!,no wonder y u have been beaten by the same somalians in ur own land.refer to the current westgate siege.mnatia huruma wakenya.
 
Back
Top Bottom