President Ruto To Uhuru: Stop Funding Raila, Ama tutakusafirisha na yeye

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Capture.JPG

President William Ruto has now fired a direct warning shot to his predecessor Uhuru Kenyatta over his alleged continuous association with opposition chief Raila Odinga.

President Ruto, speaking in Nakuru County’s Mai Mahiu town on Friday, alleged that Uhuru has secretly been funding Odinga’s persistent anti-government protests that have recently turned ugly with numerous deaths recorded.

This comes as the Head of State cautioned Odinga against proceeding with his planned demonstrations set for three days next week, stating – matter of factly – that the government will take him head-on if he does.

The President warned that, while staging a protest is any citizen’s right as enshrined in the Constitution, the full weight of the country’s security apparatus and legal system will be thrust upon Odinga if any more bloodshed is witnessed in the process.

Ruto further vowed to conclusively deal with Odinga politically, once and for all, and ensure that he firmly retires to his home in Bondo.

He went ahead to add that, should former President Kenyatta fail to cease funding Odinga’s protests, then he will presumably also be swept away by the government’s wave and retired as well in the process.

“Nataka nimwambie rafiki yangu Uhuru, ata wewe wachana na huyu mzee (Odinga), wacha kumpatia pesa ya kununua watu wa Mungiki wachome Nairobi. Wewe umekuwa rais, kuwa mungwana, tulikuunga mkono wakati ulikuwa rais wetu, uliunga mtu wa kitendawili mkono tukamwangusha, wachana na yeye,” he said.

“Usipowachana na yeye, ata wewe tutakusafirisha na huyo kitendawili wako. Uhuru Kenyatta tulimsaidia akiwa Rais, sasa anapanga kuchoma Nairobi, imemkosea nini?”

He reiterated his remarks that the Azimio la Umoja One Kenya leader was the reason for the failure by the previous government, under Uhuru, to fully realize its promises, hence he will not allow him to get anywhere near the Kenya Kwanza regime.

“Alifanya ile Big Four yetu ikapotea, akatupeleka kule BBI tukapotea mpaka tukaingia madeni, sai tuko na deni ya 9 trillion. Saizi amekuja ati anatuletea vita ati tumlete ndani ya serikali, hiyo ni ndoto ya mchana, haiwezekani,” added the President.

Source: Citizen Digital
 
Hivi vitisho Kila siku ila hakuna anachoweza fanya, akisema amdhuru odinga ndio itakua mwisho wa Kenya kutawalika.
 
Hivi vitisho Kila siku ila hakuna anachoweza fanya, akisema amdhuru odinga ndio itakua mwisho wa Kenya kutawalika.
Sidhani kama Uhuru ana mfadhili Raila, tatizo Ruto alikosea badala akae chini na kuyajenga na Raila kaamua kutumia kifua, atasumbuliwa sana maana Raila ndio zake hizo.
Hii mbinu anayoitumia Mzee Raila ili kupata 'new hand shake' sio nzuri kabisa, watu wanakufa, kujeruhiwa na shughuli za kiuchumi kukwama huku yeye akibakia mzima anakula tu pension ya Uwaziri mkuu.
 
Hii mbinu anayoitumia Mzee Raila ili kupata 'new hand shake' sio nzuri kabisa, watu wanakufa, kujeruhiwa na shughuli za kiuchumi kukwama huku yeye akibakia mzima anakula tu pension ya Uwaziri mkuu.

Mwanasiasa yeyote duniani hususan kwetu huku Afrika huwa hajali hata mfe wangapi almradi aukwae uongozi, wapo huenda hata kufanya matambiko na kutoa binadamu kama kafara, hivyo damu kumwagika sio kitu kikubwa cha kumnyima usingizi, sio kwa Ruto, Raila au hata Uhuru Kenyatta, wote hao wana historia ya kuachia damu imwagike almradi wawe wakuu.

Binafsi nimewahi kuhusika kwenye maandamano ujanani, nilikinukisha na kusaidia hadi kufanikisha tulikofikia leo hii, lakini kwa haya maandamano yanaoendelea, ninatamani sana kujiunga ila nikiangalia wanao yaendesha ni wale wale tu, hawana maslahi ya wananchi akilini mwao, wakipewa nusu mkate ndio basi.

Ruto angekaa na Uhuru apate darasa namna ya kuyajenga kwa Raila, atumie mbinu alizotumia Uhuru mpaka akafanikisha hatamu zake mbili.
 
Nairobi ni ya Odinga so likitokea la kutokea atakayeumia ni Ruto. Moi aliwahi mfunga Odinga ila alipoona moto unafukuta akamuachia na kumpa ukatibu mkuu wa chama. Odinga hana wa kumtuliza ni Mungu mwenyewe atakapoamua tu. So Ruto hana la kumtisha
Hii mbinu anayoitumia Mzee Raila ili kupata 'new hand shake' sio nzuri kabisa, watu wanakufa, kujeruhiwa na shughuli za kiuchumi kukwama huku yeye akibakia mzima anakula tu pension ya Uwaziri mkuu.
Ni kweli sio nzuri ila Kwa siasa za Afrika hakuna mtu atakuchukulia serious mpaka utumie mabavu kuonyesha ushawishi wako. Hata hapa Tz viongozi wanadharau wananchi ila ingekua tunavurumai kama la wakenya trust me tungekua tunaheshimika.
 
Nairobi ni ya Odinga so likitokea la kutokea atakayeumia ni Ruto. Moi aliwahi mfunga Odinga ila alipoona moto unafukuta akamuachia na kumpa ukatibu mkuu wa chama. Odinga hana wa kumtuliza ni Mungu mwenyewe atakapoamua tu. So Ruto hana la kumtisha

Ni kweli sio nzuri ila Kwa siasa za Afrika hakuna mtu atakuchukulia serious mpaka utumie mabavu kuonyesha ushawishi wako. Hata hapa Tz viongozi wanadharau wananchi ila ingekua tunavurumai kama la wakenya trust me tungekua tunaheshimika.
Odinga wa toka enzi ya Moi
 
Ruto ni libwege fulani linapopoma tu bila tahadhari kama jibwa koko
 
watu tunamchukulia poa ruto,
mtu aliyeshindana na miamba 2 (raila na uhuru), huku state systems zikiwa against yeye lkn bado akatoboa sio mtu wa kumchukulia poa,

alifanikisha raila akawa PM 2007, akafanikisha uhuru kuwa raisi 2013-2022, alafu tumchukulie poa mtu wa aina hio? ni utani
 
Ruto kastaarabika. Odinga anatafuta nini hasa? Kama ana any advice he can offer to a man asilazimishe iwe ni an obligation.
 
Now this is turning ugly; kinda dictatorial na kuchaguliana marafiki..;

This is punching below the belt ; Kwa ushauri in this situation hakuna sababu ya kujiongezea maadui just give your enemy enough rope so they can hung themselves
 
Back
Top Bottom