President Obama And First Lady Host The 2012 Governors' Dinner

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Barack+Obama+President+Obama+First+Lady+Host+ZS7Da8WEw55l.jpg

Barack+Obama+President+Obama+First+Lady+Host+uX89112F0ucl.jpg

Barack+Obama+President+Obama+First+Lady+Host+GXKDtVQR--el.jpg

Barack+Obama+President+Obama+First+Lady+Host+DHAYWIrYvs7l.jpg
 
Blackbeauty, jamani nduguzangu jipende who you're, mwaona mwenzenu, I believe hakuna mkorogo wala manywele hayo ya kubandika mnayoita weaving. She is beautiful at her own skin, kujiamini is sexy above all.
 
  • Thanks
Reactions: Edo
hee! Huyu mama kiboko kavaa kama net vile?

hahaa angekuwa wa kwetu huyu angejishindilia mi kanga na lingine anawekaga pegani sijui la nini...aghhhh..bora hivi yuko maternitt leave ananyonyesha hatumuoni bana
 
hahaa angekuwa wa kwetu huyu angejishindilia mi kanga na lingine anawekaga pegani sijui la nini...aghhhh..bora hivi yuko maternitt leave ananyonyesha hatumuoni bana

Wewe Ushaanza.........

Jamani hawa bado tu wana umri wanazaana. Sisi kwetu mwiko, ukishaitwa babu au watoto wakishaanza kuoa, kuzaana tena inakuwa bonge la soo
 
Blackbeauty, jamani nduguzangu jipende who you're, mwaona mwenzenu, I believe hakuna mkorogo wala manywele hayo ya kubandika mnayoita weaving. She is beautiful at her own skin, kujiamini is sexy above all.

mbona wewe umevaaa!!!
 
Back
Top Bottom