Presidaa JK alivyoukaribisha Mwaka kwa manjonjo kijini kwao Msonga

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
Ilikuwa shange na vifijio huku fashifashi ziking'arisha anga ya kijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani ambako Rais Jakaya Kikwete alijumuika na wanakijiji wenzake kuuaga mwaka 2011 na kuupokea mwaka 2012 kwa mkesha uliopambwa na ngoma za utamaduni na fashifashi.

ms1.jpg
ms3.jpg
ms4.jpg
 
Muone huyo mama kwenye pic #2 hilo haliwezi kuwa tabasamu la furaha bali la kukata tamaa!lakini huyu mkuu dah mbona amepatelekeza kwao mno jamani mi naona bora uwe ka ubinafsi ka kizalendo japo kidooogo
 
ceremonial presidenti bana!
Watanzania tunapenda sana sherehe! What have we achieved? How can you celebrate in such a manner while your children and neighbors are suffering from a deep poverty?
Nimekumbuka utuzi wa Skassy Kasambula na OSS uitwao Kipipa Ayubu (chunga rasilimali isiteteleke)
 
Hivi jamnai uchaguzi lini tena, maana huyu jamaa sipendi hata kunuona.
 
Back
Top Bottom