Pregnant idea.......thank you my friend......i love you my wife.

hii iliwahi tokea tanga kuna mzee mmoja maarufu sana,
Unajua wanawake wa tanga sio wakuwapa siri hata umpende na akupende vip mkigomba tu ujue mtaa mzima watajua.
Basi huyo mzee amejaaliwa kipesa na anampenda mke wake siku moja akaja na nguo kazivalisha sanda ka maiti vile akamwambia mke wake huu mwili inabid tuuzike ndan ili isije gundulika wakaenda store wakachimba wakazika wakafukia kesho akamwita fundi akaja sakafia vizuri.
Maisha yakaendelea vizuri wakajaza magunia ya mikaa kwa pale juu, baada ya muda jamaa akaanza kumletea vituko wife kamzingua mwisho akaja mfukuza wife akalia akaomba msamaha hakuna kitu akamwambia tutaona we si mjanja.
Akaenda polisi kawaelekeza kila kitu khs kuzika mtu ndan ya nyumba jamaa anashangaa polis mjumbe wanakuja pale wakaongoza mpk store wakatoa mkaa wakaamuru pavunjwe wakachimba wakakuta sanda wakaamin kuwa kuwa kuna mait wameitoa wanakuta n nguo tu.
Mke yakabak yamemshuka wakamuuliza kwa nin umefanya hv akawajibu nilikuwa napima kama wanawake wa tanga wanajua kutunza siri akamwambia mke wangu naomba urud tu nyumban nakupenda sana toka siku hyo umwambii kitu kuhusu wanawake wa tangu.

Mhhh, hiii nayo kali, mi nisingerudi, maana aibuuuu!
 
Pple sana, the story is touching. But ingependeza sana km ingekuwa full story, kuliko kutuacha na maswali kichwani
 
Back
Top Bottom