Precission yafuta flt 2 tena leo

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Ni habari za kusikitisha ila nafikiri ni katika kuwekana sawa kwamba airline industry si ya kujaribu....kampuni ya precission leo hii imethibitika kufuta flt zake za mwanza na kilimanjaro.....
polen sana ,...na kibaya zaidi wanakataa kuwapakiza kwenye ndege mbadala wakidai ndege yao inaondoka jion then jion wanaairisha mbona msitangaze janga l TAIFA watu wawaelewe kama ndugu zenu ATCL walivyoamua kujipanga ......si lazima kuruka kila siku kama hali ngumu kaeni chini mjipange upya
nawatakia kila la kheri ila tupunguze cancellation
 
Air transport industry is the disaster in Tanzania, the industry need a clear and comitted investor to revive it otherwise watoto wetu ndege wataziona juu ya anga wala hawatazipanda maana hata wenye pesa hawataweza kwani hazitakuwepo labda huwe unakuja nje ya nchi.
 
Precission wanajitahidi...sijui kwa nini wanakwama wakati kwa sasa ni kama hawana serious mpinzani.
 
Ni habari za kusikitisha ila nafikiri ni katika kuwekana sawa kwamba airline industry si ya kujaribu....kampuni ya precission leo hii imethibitika kufuta flt zake za mwanza na kilimanjaro.....
polen sana ,...na kibaya zaidi wanakataa kuwapakiza kwenye ndege mbadala wakidai ndege yao inaondoka jion then jion wanaairisha mbona msitangaze janga l TAIFA watu wawaelewe kama ndugu zenu ATCL walivyoamua kujipanga ......si lazima kuruka kila siku kama hali ngumu kaeni chini mjipange upya
nawatakia kila la kheri ila tupunguze cancellation
hii industry badoooo hapa bongoo..

precision nahisi anapata kizunguzungu basi tuu kusema hadharani hajawezaaaa...

tunawategemea kwa mengi ila zaidi ajira hizo...
 
Yani Precission air ilishaanza kukaa vizuri, sijui kuna jinamizi gani linaikumba hii kampuni. Tangu iliponitesa kwa mambo kama haya ya kufuta safari sina hamu nayo.

Management ya Precission Air tatizo nini? Au kuna UFISADI umewakumba?????
 
Hivi vindege vikija kumwaga watu mtakuja oooh iundwe tume kuchunguza uwezo wa hili kampuni kwa nn sasa msilishughulikie?
 
Safety should be serious issue on these planes.Kama wamechacha heri tu watulie wasije tuua bure huko angani. Kwani mbongo akianza kuchacha hajali tena kuhusu usalama bora liende.

Ndege zenyewe ni kuukuu mno hivyo zina gharama kubwa sana ya uendeshaji hususan matengenezo plus abiria kitim tim.
 
tatizo kubwa la tanzania katika airline industry unakuta mtu analeta ndege bila hata kujua whr n how to get maintanance mny....hili limewasumbua sana na kama nime observe katika mashirika ya tanzania ya ndege hawana shedule perm ambayo itamcomvince hata mtu alie kichachara marangu kuamua kuja na atc ama precission...kunaitajika elimu kubwa ya viongozi wanaoongoza hizi kampuni...wengi wanadumbukizwa na elimu zao za UNIVERSITY wakifika badala ya kuangaika hata kuongeza ujuzi wa airline industry ndipo wanapoishia kupanga ratiba zisizo na msingi....
utakuta kama ni winter time PRECISSION ama ATC wanakuja na zaidi ya ratiba tatu just for winter why??na swala kubwa linalomkimbiza mteja ni reliability ya kampuni..kama mnaamua kufuta ndege mnavyotaka hakika moto wa abiria lazima uwawakie.....so nafikiri precission inaitaji kusaidiwa na kama mtu ana nduugu jamaa kule ajitahidi kutoa msaada wowote hata kwa maandishi iweze kuinuka...
we wish them all the best
 
kwenye airline industry kunaitajika mambo mengi sana jamani ndo maana delta ya marekani majuzi imepunguza watu zaidi ya 3000 wako majumbani..not easy...
jinsi mnavyojipanga ndivyo mtakaavyotoka..
 
Muda si muda,

Ndege yetu ya community Air itakuwa hewani, cha motto watakiona hao ATCL na PA...
 
Back
Top Bottom