Precission air wanaipiga atcl misumari??

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Hi ifike wakati tuanze kujilinda wenyewe ndugu zanguni
nimeanza kuhofu huu mfululizo wa ndege za atcl kupaki kimoja kwenye mikoa mbaya
pemben kabsa ya uwanja kuonyesha tulikuwepo nahisi ni wakati wa atcl kuamka
sasa na kuanza kufikiria nini kinaendelea

katika pita pita atukusita kusikia vijana yawezekana wanapigwa misumari na kampuni
ya precission..sipendi kuamini lakini haya mambo yapo wana ndugu hata kwenye misiba wa kanumba
jana bibi mmoja ameanguka gafla kutoka angani pemben ya nyumba aliokuwa anakaa kanumba
alipoulizwa akadai amekuja kumchukua waende lagos kutengeneza movie

saaa ya ukombozi ni sasa
 
Acha umbea
 
Ama kweli hata katika mwanga huu wa jua kuna watu wapo gizani" yaani hulioni tatizo lililo wazi kabisa Comrade unahitaji maombi hakuna misumari hapa mbona Ndege ya Rais ilinunuliwa mbovi Kwa iyo Rwanda wanatupiga misumari
?
 
Ndugu Kevin Ruto,
Nilikusoma jana vizuri juu ya hii ishu ya ndege ya ATCL.
Inaonekana wewe ni mweledi mzuri wa masuala ya aviation, na upo katika sekta hiyo!
Lakini nasikitika sana kwa thread yako ambayo inakosa kabisa mashiko!
Kama ulielewa vyema jana, ndege ile ilikuwa na hitilafu toka mwanzo, na ni ung'ng'anizi wa pilot uliomfanya aamue kuruka!
Je PW wanahusikaje hapo?...je si kweli kwamba ndege za ATCL ni kukukuu, na ratiba za matengenezo/checks ni za kuungaunga?
Tuache kuhisihisi, tuhakikishe ndege zinasimamiwa na wataalamu wenye kuipenda kazi...basi!
 
Mkuu pk
unajua leo niko na huzuni kubwa kumlaza kaka yangu kipenzi sasa najaribu kuangalia nitaondoaje
stress jamani....tunaijua vyema ingawa ni kweli pk zile ndege zinaitaji kusimamiwa kiukweli kama atuitaji kusikia ajali yoyote hvi karibuni.....
 
Hi ifike wakati tuanze kujilinda wenyewe ndugu zanguni
nimeanza kuhofu huu mfululizo wa ndege za atcl kupaki kimoja kwenye mikoa mbaya
pemben kabsa ya uwanja kuonyesha tulikuwepo nahisi ni wakati wa atcl kuamka
sasa na kuanza kufikiria nini kinaendelea

katika pita pita atukusita kusikia vijana yawezekana wanapigwa misumari na kampuni
ya precission..sipendi kuamini lakini haya mambo yapo wana ndugu hata kwenye misiba wa kanumba
jana bibi mmoja ameanguka gafla kutoka angani pemben ya nyumba aliokuwa anakaa kanumba
alipoulizwa akadai amekuja kumchukua waende lagos kutengeneza movie

saaa ya ukombozi ni sasa

umeongea ukweli mtupu, maswali ya kujiuliza ili uelewe economic sabotage inayofanywa na precision kwa ATCL ni haya yafutayo,
  • kwa nini ndege za ATCL tu ndizo zinapata ajali?
  • ni lini umesikia ndege ya perecision imepata ajali?
  • je ni kwa nini ajali hizi zote haziui ila ni ndege tu inaharibika?
  • hujuma kubwa inafanywa hapa
 
Mwenyezi Mungu awahurumie wewe na Kelvinruto.

Bado mko karne ya kumi. Tuulize tunao safiri na hiyo Precision Air kwenda Kigoma au Bukoba tumelazwa mara ngapi Mwanza kwa sababu ya hali ya hewa (juu na chini/tope kwenye njia ya kurukia Kigoma) wakati watukufu wako ATCL wanapuyanga tu!

Tofauti si uchawi. Mmoja anazingatia zaidi usalama, mwengine mazoea. Kalaga baho.
 
Sijakuelewa mkuu ..

Unaongelea ATCL? Au bibi alie anguka na ungo?
Na bado sijaona connection kati ya hizo topic.
 
umeongea ukweli mtupu, maswali ya kujiuliza ili uelewe economic sabotage inayofanywa na precision kwa ATCL ni haya yafutayo,
  • kwa nini ndege za ATCL tu ndizo zinapata ajali? Kwasababu wanaongozwa na vichwa maji, wabinafsi na watu wenye choyo kikubwa sana kwenye mioyo yao
  • ni lini umesikia ndege ya perecision imepata ajali? kwa sababu wanajali uasalama wa abiria wao, hizo ajali za ATCL zinaepukika ndio maan haziui siku zote ukiona ajali kweli ya ndege inamaliza watu wote wa ndani
  • je ni kwa nini ajali hizi zote haziui ila ni ndege tu inaharibika? kwa sabaubu zinasababishwa na uzembe na sio mipango ya mungu kama wanavyodai
  • hujuma kubwa inafanywa hapa hiyo hujuma unafanya wewe na wa kwenu wote na sio Precision labda umuulize waziri Nundu
 
Back
Top Bottom