RasJah
JF-Expert Member
- Nov 5, 2009
- 703
- 64
Mh. Zitto (Mb) na Mh L. Utouh (CAG)Hivi PPF Management wanapovuruga ukaguzi kwa kuwaondoa wafanyakazi ni sahihi? Lengo kuu hapa ni kumuondoa aliyekuwa Mhasibu Mkuu wa PPF mwaka 2008 ambaye ndiye muibuaji wa wizi na ufisadi kwa kukataa kuwalipa wakurugenzi milioni 220 kila mmoja ambayo si stahili zao. Wanajua akiondolewa PPF, CAG atapewa majibu na wao wenyewe.
Kwa hili serikari iliangalie kwa upana wake ili kuokoa huu mfuko. Milioni 520 kwa Mkurugenzi Mkuu kila miaka minne kwa lipi kubwa aliloufanyia mfuko? Ni kiongozi gani hapa nchini mwenye mafao makubwa kama wanayoiba hawa wakurugenzi wa PPF. Nasema wanaiba kwa sababu wao haki yao gratuity tu.
Kwa Mkurugenzi Mkuu alistahili Milioni 132 za Gratuity lakini kwa kutumia madaraka akavuta Mil 520 za GES plus Mil 132 za gratuity jumla karibu Mil 652. Hii ni sahihi? Wafanyakazi wakihoji, wanasimamishwa kazi kwa kutishia wengine wasijitokeze.Rais J kikwete, hebu ingilia kati uuokoe huu mfuko.
Nchi hii ni kizungu mkuti kweli kweli kwani kwani kwa wanajaribu kwazimba midomo na kuweka vitisho kwa staff kwa kuwatolea mfano wa suspend wale staff 6 ambao wanatumia guess work au ushahidi wa kubambika/kuokoteza sina shaka pale PPF kuna tatizo la professionalism kwani kitengo cha IT ni kuanzia Mkurugenzi mpaka it technician wote vilaza kwani wameshindwa kumsaidia Asia na team yake kumwambia kuwa huu ushahidi wa kupika utatukoea puani sasa Rob sina shaka ana mtindio wa ubongo u cannot allow such guess work evidence and even naming some-1 rasjah when I heard about I laugh and laugh and said can u caught a ghost or shadow? That is how rasjah is all about, none of u can dare to see rasjah once u do u furnish like dust but he survives n stationed in Kingstone. By the way can u see God by necked eyes or touch him.
Taifa la JK lazima litoe maamuzi ya haraka kwa kuliokoa shirika kwani sasa huyu jamaa Erio bila ya kuongopa mujomba wake Mukapa kwamba au kumuonea aibu ya kwamba ikiwa watamtoa basi watamwangusha ila watakuwa wanamsaidia kwa kumuelemisha huyu jamaa ajue jinsi ya kuwa kiongozi aliye na maadili na sio kuwa kivuli cha kiongozi ambaye amejaa majungu, uongozi mbovu, uzinzi, na visasi sina shaka hakuna mtu alikuwa anadhania kuwa UK, London inaweza ikatawaliwa na riots ambazo zinatokana uonevu, dhuruma na ubaguzi wa rangi.
Kwa hivi sasa Management ya PPF wanajaribu au tayari wameanza ku-lobby ilinao wawe katika ajira isiyo na kikomo yaani Unspecified period of employment wakati hapo awali walikuwa katika ajira ya mkataba na wakavuta endowment na kwa kuwa wanaona kuwa wakiwa ktk ajira ya kudumu wata-qualify tena kwenye endowment sasa hii nchi viongozi tunao kweli na hii board of trustees inafanya kazi kweli tatizo board ya sasa inaongozwa na mtu ambaye anajaa sana VC Dr Kapalata ambaye kwa mbinu ya erio alihakikisha wale ambao hawakuwa royal kwake aliwatoa wote kwakumushawishi Mkulo na kubaki na kapalata ambaye alikuwa royal tangu hapo awali na hii inatokana na njaa za huyo mzee hana kazi za maana za kumletea kipato ni rahisi kununuliwa na wana-bodi wengi sina ufahamu wao kama nao wana-integrity.
Kamati ya Zitto na CAG sina shaka nao wamepata mlungula ndio maana wamekaa kimya kwani huyu jamaa Asia yuko sharp kutanguliza pesa mambo akiona yanakuwa hot. Lakini cha ajabu nimeshangaa sana kuona hata SSRA, Irene Isaka alisifia shirika la PPF kuwa eti lina formula nzuri ikilinganishwa na mashirika mengine kauli hiyo alitoa katika sherehe ya kukabidhi zawadi wafanyakazi bora wa PPF wakati yeye alikuwa mgeni rasmi, swali linakuja kweli huyu dada Irene, badala ya kuwa na hoja ya kulipongeza shirika kwa mapungufu iliyonayo anaanza kujikomba sasa inamaana hata yenye tayari alipelekewa bahasha kweli pesa ni sabuni ya roho.
Hofu yangu kwa huyu SSRA CEo issue ya formula ni chronic problem for all social security institutions na solution ni ku-harmonize formula ya mashirika yote na kuwa na formula moja na wao watakuwa wanapata members kwa kutoa service and product ambazo ni competitive na attractive. Leo hii huyu dada anasema PPF fomula nzuri wakati yeye mwenyewe alikuwa Manager wa Investment na alikimbilia Stanbic bank kumkimbia Erio.
Sina shaka job descriptions ya SSRA huyu dada haiju kabisa kwani anatakiwa kuwa UNBIASED na kuwa neutral na kuwa kiuongo kati ya SERIKALI na MIFUKO period vionginevyo haya mashirika LAZIMA yaunganishwe na kuwa mashirika mawili tu kuondoa utiti wa mashirika ambao functions na missions yake ni moja nayo ni ku-register, collect na invest revenues to rise more income for members to serve at any point of calamity, oldness and so forth.
Ushauri wangu kwa serikali kwamba NSSF, ZSSF na PPF yaungane na kuwa shirika moja, na pili lichukue PSPF, GEPF na LAPF. NHIF halina tija kwani kazi zake nyingi zinafanya na AAR, Hospitals, dispensaries and health insurances nyingine. ZEnu huyu dada atafanikiwa kuyasimamia haya mashirika.