INAUZWA Powerful Harman Kardon Ts 11, powered subwoofer fore sale

Mamaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
4,796
3,726
Kwa wale mnaopenda mziki mzito, nauza Subwoofer tajwa hapo juu, haina shida yoyote, kwa wale mnaohitaji real punch with pure bass inayikita kifuani ,mashine hiyo hapo 200watts rms ,ina coil ya 4ohm, ikiilinnganisha na sub za sea piano zilizozoeleka za 80w @2ohm ,hii ni sawa na 400watts @2ohms. Njoo na 320,000 uje uchukue mashine. Dude ni kubwa hasa, 21 kg Mawasiliano 0717747588
IMG_20231103_123152.jpg
 

Attachments

  • IMG_20231103_123217.jpg
    IMG_20231103_123217.jpg
    552.5 KB · Views: 6
  • IMG_20231103_123129.jpg
    IMG_20231103_123129.jpg
    496.1 KB · Views: 7
Back
Top Bottom