.li kuondoa kidomodomo cha wabongo,ni bora tumpe timu dauda akisaidiana na balantanda.
kama mna wasiwasi na uteuzi wake ina maana hafai.kwa maximo mlianza hivihivi.......hahahahaha...mkuu hatujasema kocha hafai..ila uteuzi una utata..bado anakumbatia
wazee
kama mna wasiwasi na uteuzi wake ina maana hafai.kwa maximo mlianza hivihivi
Vyovyote........
Umekurupuka ama?.....Zambia hawakuileta timu ya vijana kwenye challenge mwaka jana,walioleta timu ya vijana ni Zimbabwe(soma vizuri post yangu),kocha wa Zimbabwe Norman Mapeza alisema kwamba ameileta timu hii ili ipate uzoefu wa kushiriki mashindano ya Afrika.......Concern yangu ni kwamba tuanze kuwapeleka vijana wakashiriki mashindano haya ili waanze kuapata uzoefu wa mashindano makubwa...Hao wazee wameshafail katika kila mashindano waliyoshiriki sasa ya nini kuendelea kuwakumbatia?....
Tanzania tunao wachezaji wengi tu na wazuri ambao wako Ngorongoro Heroes,Manyara Stars na Serengeti Boys na Karume Boys.....Pia Copa Coca Cola huwa inao wachezaji wazuri tu...Hizo timu za vijana zina wachezaji ambao ni wazuri zaidi ya hao wazee akina Kaseja,Nsajigwa,Nditi,Nizar na wengine.......Kama uliangalia mechi ya Simba na Azam FC utakubaliana na mimi kwamba bwana madogo Shomary Kapombe wa Simba na Salum Abubakary 'Sure Boy' wa Azam ndio walikuwa nyota wa mchezo kutokana na jinsi walivyolitawala dimba la kati(kiungo).....Pia Ramadhani Singano(wenyewe Simba wanamwita Messi) aliwanyanyasa vilivyo beki ya Azam....
kwa maelezo haya sioni tatizo la paulsen kuchagua kikosi alichochagua.swala la kujenga timu ni kazi ya tenga,TFF wanatakiwa kuwekeza kwa watoto kitu ambacho wanakifanya.leo hii tuko kwenye mashindano unategemea poulsen aanze kukuza vipaji?tuache nadharia na badala yake tutoe ushauri unaotekelezeka.Balatanda
You have a point, hebu soma hapa chini uone mafanikio ya Zambia yameanzia wapi?
The success of Zambia at this year's Cup of Nations will be remembered for these emotional factors that inspired the side to greatness, yet this must not obscure the root cause of this famous triumph. Bwalya laid the foundations himself as vice-president of the country's Football Association back in 2005, having witnessed yet another failure to qualify for the World Cup.
Not content, Bwalya implemented a long-term vision, pooling players from Under-20 and Under-23 level who would form a core of a side for the next four years. Both 2006 and 2008 saw first-round elimination from the Cup of Nations, but Bwalya did not panic and ensured that they stuck to the original four-year plan for success.
Now the FA president, Bwalya's philosophy saw Zambia get to the knockout-rounds in 2010, before earning the ultimate accolade in 2012, with a philosophy based on familiarity, togetherness and pride. Coach Hervé Renard must also take great credit, despite only having re-joined the Zambian set-up last year. The team worked together over friendly encounters on the tactical systems and approaches that could guide them to success, with the Frenchman overseeing a team that has shown remarkable discipline and tactical versatility throughout the tournament, a shining light to African football.
kwani tunaenda kwenye cosafa?Ngorongoro Heroes iliyoshika nafasi ya 3 kule cosafa Botswana iko wapi? Naamini ukiwaweka wale vijana, watakuwa tayari kufia uwanjani.
kwani tunaenda kwenye cosafa?
kwa maelezo haya sioni tatizo la paulsen kuchagua kikosi alichochagua.swala la kujenga timu ni kazi ya tenga,TFF wanatakiwa kuwekeza kwa watoto kitu ambacho wanakifanya.leo hii tuko kwenye mashindano unategemea poulsen aanze kukuza vipaji?tuache nadharia na badala yake tutoe ushauri unaotekelezeka.
ndio maana kuna mashindano tofauti tofauti,tuache under 23 kwa wahusika na afcon iachiwe vijeba.hata kina nizar walianzia chini lakini leo hii mnawaona si lolote.tatizo la wabongoNo, AFCON 2013! Ngorongoro walialikwa cosafa u 23 mwaka jana wakashika nafasi ya tatu.
kukuZa vipaji sio suala la kukurupuka kama mnvyotaka lifanyike.Soma vizuri kwenye nyekundu, timu yetu haiendi popote , ni bora tuwape nafasi hii Ngorongoro ili wapate uzoefu, na baada ya miaka minne tutaona matunda. TFC wanatakiwa wamwambie sisi tunawekeza hapa, hawa hatutaki kuwaona unawaita, Finish
Hapo ndipo tutakapomkumbuka Marcio Maximo. Akirudi leo hata kutalii tu watu watamshangilia ajabu (ni mtazamo wangu tu).
Ngassa,Tegete,Jabu,Maftaha,Makasi walikuwa wanaonekana wataiokoa Tanzania lakini sasa hivi wote wamefulia