Posho Bungeni: Zitto, Lema katika vita ya maneno

Status
Not open for further replies.
Teh teh teh!unamjua vizuri zitto au unamsikia tu!

Je ukiambiwa Zitto anamabilioni Uswisi utafanyaje?
 
Suala la posho kufutwa lilikuwa hoja ya CDM, lakini lengo ilikuwa posho kufutwa kwa wabunge wote, siyo kwa mtu moja moja. Zitto kutopokea posho peke yake bado haijalipunguzia taifa mzigo mkubwa wa kuwakomboa maskini wa nchi hii. Hata hivyo tunaambiwa Zitto anaingiziwa mabilioni kwenye akaunti zake kupitia moja ya mabenki huko majuu, hivyo suala la posho kwake ni kama vijisenti tu.

Ningemkubali Zitto angelishawishi bunge kusitisha posho, siyo yeye kususia posho.

Kwa hili akili ya Zitto imemtosha mwenyewe

Alianza kuomba bunge kusitisha posho kwa wabunge na wabunge akiwamo lema walivyokataa yeye akaamua kuacha kupokea posho hiyo na badala yake inaingia kwenye mfuko wa jimbo lake na kuwasaidia wananchi. Ukiwa unamchukia zitto kwakuwa yeye sio katika nyinyi hata sura yako inaonyesha kwa jinsi ilivyokaukiana kwa chuki. Umenielewa KING of king.
 
Last edited by a moderator:
Wabunge wa chadema porojo nyingi lakini posho wanachukua.

Kama Mbowe alivyojifaya kukandia gari la serikali lakini analitumia!

Hawa Jamaa wa CHADEMA ni wanafiki sana, Mbowe alivyokuwa anaapa kwa miungu yote kuwa hataki gari la serikali, leo hii ametulia zake ndani ya V8, kama vile hakuwahi kulikana.
 
Hii ndiyo akili za wabunge wa chadema maneno mengi mantiki hakuna mtu kama lema yule si mzima anaweza kuongea kitu ambacho hata hakijui ili mradi tu asikike.

Naona lumumba wamewaboreshea vijana wake kwakuwawekea mpaka baff hambanduki hapo. Poleni sana.
 
Mungu anawadhihirisha wanafiki kila siku na bado itaendelea. GODBLESS lema alianza kusema tumemuachia kisu zito ajichinje mwenyewe akimaanisha kutomshirikisha katika matukio ya chama bado anaona mwanaume anapeta tu kwakuwa zito ni mpango wa Mungu huku kaja kajionyesha sura yake iliyojaa makovu ya chuki, fitna na husda kwa zito. Na bado mtajuta haters. Wakumstopisha ni Mungu sio nyie makhanatha mnaoshinda kuchambia magunzi kwa njaa.
 
Last edited by a moderator:
Suala la posho kufutwa lilikuwa hoja ya CDM, lakini lengo ilikuwa posho kufutwa kwa wabunge wote, siyo kwa mtu moja moja. Zitto kutopokea posho peke yake bado haijalipunguzia taifa mzigo mkubwa wa kuwakomboa maskini wa nchi hii. Hata hivyo tunaambiwa Zitto anaingiziwa mabilioni kwenye akaunti zake kupitia moja ya mabenki huko majuu, hivyo suala la posho kwake ni kama vijisenti tu.

Ningemkubali Zitto angelishawishi bunge kusitisha posho, siyo yeye kususia posho.

Kwa hili akili ya Zitto imemtosha mwenyewe

Hapo umenena Zitto anasusia posho huku anaingiza mabilioni kwa njia nyingine kwanini asikatae hata hayo mabilioni ambayo serikali ingeweza kuyatumia ktk kutatua matatizo ya wananchi hata kwa uchache?
 
Mungu anawadhihirisha wanafiki kila siku na bado itaendelea. GODBLESS lema alianza kusema tumemuachia kisu zito ajichinje mwenyewe akimaanisha kutomshirikisha katika matukio ya chama bado anaona mwanaume anapeta tu kwakuwa zito ni mpango wa Mungu huku kaja kajionyesha sura yake iliyojaa makovu ya chuki, fitna na husda kwa zito. Na bado mtajuta haters. Wakumstopisha ni Mungu sio nyie makhanatha mnaoshinda kuchambia magunzi kwa njaa.

Shetani number one naona umecoment
 
Last edited by a moderator:
Daah nikweli tena ilitungwa kwenye mkesha wa mwenge.

Lema badala ya kutetea wana Arusha, anatetea aongezewe posho, kweli CHADEMA hawaaminiki, Nilimsikia pia akiomba barabara ya kwenda VETA (njiro Arusha) ambako ndiko anakoishi , ijengwe, maana haipitiki kirahisi.
 
Hawa Jamaa wa CHADEMA ni wanafiki sana, Mbowe alivyokuwa anaapa kwa miungu yote kuwa hataki gari la serikali, leo hii ametulia zake ndani ya V8, kama vile hakuwahi kulikana.

Hongera shetani namba 2 umefunguka
 
Huu mjadala unaonyesha na kudhihirisha ni kiasi gani maccm wanaridhika na wabunge wao kuwa wapenda posho! Hili halitakiwi kuwa swala la kichama! Linatakiwa lituunganishe kama Taifa tupinge kwa pamoja, wote kwa umoja wetu tunapaswa kuungana na wabunge wa upinzani au chama tawala wanao pinga posho.

Tusilifanye hili kama halali kwa wabunge wa chama fulani lakini si halali kwa wabunge wa chama kingine. Ni ukame wa maono tu kuona swala la posho ni halali kwa wabunge wa ccm na si halali kwa wabunge wa upinzani.

Posho wanazo lipwa wabunge ni kodi zetu, walimu, manesi na madaktari na wengine kwenye utumishi wa umma nao wana haki ya kulipwa vizuri.

Ni aibu mstaafu analipwa Sh 50000 huku akiwa amelitumikia taifa hili kwa umahiri na ujuzi wake wote halafu wachache wanaona kuwa wabunge fulani ndio wenye uhalali na posho na wengine hawana baadala ya sisi kama Taifa kuungana kwa kuona posho hizo zinaondolewa bila kujali itikadi za vyama vyetu.
 
na wanajua kuzitafuta .... hii ni pamoja na kusoma kwa bidii na kuhimiza maendeleo miongoni mwao! ..... si unaona kilimanjaro ilivyobarikiwa kuwa na shule nyingi? .... kama sio upendeleo unaoendelea hasa awamu hii ya JK ungekuta hata ikulu wanaomzunguka JK wasaidizi wake wote ni wachagga (kwa academic and experience qualifications)

Umesahau sifa moja, Mbona hiyo huitaji?
 
Wabunge wa chadema wanafiki sana! Hasa huyo mbowe anamiliki majumba hadi Oman lkn anakomaaa na posho anasahau kuwa mpiga kura wake ni maskini anae hangaika kupika pombe ili watoto waende shule. ZITO KAONYESHA MFANO HATA KAMA NI UNAFIKI LKN C KAKATAA BWANA!.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom