neyl
Senior Member
- Nov 23, 2011
- 127
- 19
habari, mimi ni kaka yangu ambae ni pacha yangu, yeye alitokea kumpenda kabinti chetu cha kazi ana miaka 2O elimu yake ni darasa la 7, baada ya kuwa na uhusiano wa siri kwa miaka miwili osidai akaamua kutangaza nia wazee wakatuma mshenga mpaka tanga kwa binti kupeleka barua afta cku mbili tukarudishiwa majibu kuwa hawataki binti yao aolewe kwetu kisa muoaji ni mtoto wa bosi na bint yao ni mfanyakazi et tutamdharau, pia sisi ni wamasai wao ni wabondei... iv jaman bado kuna ukabila tz mpaka leo?