Pongezi nokia na microsoft kwa kuonesha mpaka unapita katikati ya ziwa nyasa

DON KILLUMINATI

Senior Member
Jan 2, 2011
193
83
noikia map.png NOKIA MAPS AMBAZO PIA ZINATUMIWA NA YAHOO ZINAONESHA MPAKA UNAPITA KATIKATI YA ZIWA NYASA (MALAWI)

CHECK:
Yahoo! Maps, Driving Directions, and Traffic

bing.png
MICROSOFT MAPS NAZO ZINAONESHA MPAKA UNAPITA KATIKATI YA ZIWA NYASA (MALAWI)

CHECK:
Bing Maps - Driving Directions, Traffic and Road Conditions

BADO GOOGLE, NDIO WAMEONESHA MPAKA UNAPITA PEMBENI MWA ZIWA WAKIMAANISHA LIPO MALAWI JAPO WAMEWEKA DOTS KUONESHA KWAMBA KUNA BORDER DISPUTE
 
VIONGOZI WETU WAKOMAE WASIJESHINDWA KWENYE INTERNATIONAL COURT OF JUSTICE,

NIMESIKITIKA NILIPOSOMA KWENYE SITE YA nyasatimes.com KWAMBA ETI KIKWETE AMEWAAMBIA WALIOZUNGUMZIA MAMBO YA VITA NI VIONGOZI WA VYAMA VYA UPINZANI, WAKATI KILA MTU ANAJUA KWAMBA NI MEMBE, SITTA NA LOWASSA.

SIO VYEMA KUWASINGIZIA UPINZANI, HIYO NI NIDHAMU YA UOGA (KAMA KILICHOSEMWA KWENYE NYASATIMES NI KWELI RAISI WETU KAKISEMA)
 
nataman tukapigane vita coz wanajesh wetu hawana kaz
kaz yao kubwa kuwaonea raia mtaan na kuchukua v2 vya watu kwa ubabe!
 
hahahahah ntakutafuta nikukutanishe na bos wao umpe makav live,ila uandike na wosia kabsaa
 
View attachment 62459NOKIA MAPS AMBAZO PIA ZINATUMIWA NA YAHOO ZINAONESHA MPAKA UNAPITA KATIKATI YA ZIWA NYASA (MALAWI)

CHECK:
Yahoo! Maps, Driving Directions, and Traffic

View attachment 62460
MICROSOFT MAPS NAZO ZINAONESHA MPAKA UNAPITA KATIKATI YA ZIWA NYASA (MALAWI)

CHECK:
Bing Maps - Driving Directions, Traffic and Road Conditions

BADO GOOGLE, NDIO WAMEONESHA MPAKA UNAPITA PEMBENI MWA ZIWA WAKIMAANISHA LIPO MALAWI JAPO WAMEWEKA DOTS KUONESHA KWAMBA KUNA BORDER DISPUTE

hivi na wewe unajiona umefikiriaa?nokia ni nani?microsoft ni nani? Kwa hiyo huo ndo ushahidi wa kupeleka ICC eti nokia ama microsoft ilhali wenzako wanaonesha signed documents,,nasi tuingie na facts zetu zikionyesha muingereza alitukabidhi vp na kama tunazo hizo documents tuzipresent sio nokia ama microsoft ndo watatutetea ICC?
 
Kibaya ni kuwa world bank ilitaka kuipa Google kandarasi ku map maeneo yote kwa ajili ya kusaidia pale msaada wa kibinadam unapohitajika
 
hivi na wewe unajiona umefikiriaa?nokia ni nani?microsoft ni nani? Kwa hiyo huo ndo ushahidi wa kupeleka icc eti nokia ama microsoft ilhali wenzako wanaonesha signed documents,,nasi tuingie na facts zetu zikionyesha muingereza alitukabidhi vp na kama tunazo hizo documents tuzipresent sio nokia ama microsoft ndo watatutetea icc?

usikurupuke ku insult mkuu.

1. Kwanza sio icc, ni icj - icc ni court of criminal, na icj ni court of justice.

2. Pili, hii niliyoweka hapa haina uhusiano na ushahidi wetu icj its the matter of facts kwamba kumbe sio sisi wenyewe tuliomezeshwa kwenye geography ya darasa la tano kwamba mpaka unapita kati kati ya ziwa, it means zipo ramani nyingine zinazoonesha kwamba mpaka unapita katikati kama un law of the sea inavyosema, ambazo ramani hizo ndo hizo zilizotumiwa na nokia na microsoft.

Kama hujaelewa ninacholenga basi iddi njema....!!!
 
Liwalo na liwe bwana. Potelea mbali kama mkubwa ameshashaanza kusingizia upinzani while 6 mamvi na membe wako nyinyiem. Oh. Au ni wapinzani nowadays?
 
usikurupuke ku insult mkuu.

1. Kwanza sio icc, ni icj - icc ni court of criminal, na icj ni court of justice.

2. Pili, hii niliyoweka hapa haina uhusiano na ushahidi wetu icj its the matter of facts kwamba kumbe sio sisi wenyewe tuliomezeshwa kwenye geography ya darasa la tano kwamba mpaka unapita kati kati ya ziwa, it means zipo ramani nyingine zinazoonesha kwamba mpaka unapita katikati kama un law of the sea inavyosema, ambazo ramani hizo ndo hizo zilizotumiwa na nokia na microsoft.

Kama hujaelewa ninacholenga basi iddi njema....!!!

mi napita bana ctaki kuwamember wa hiyo kambi yenu ya mjini.
 
Yaani kwa jinsi mlivyomshambulia huyu bwana mleta mada nimefarijika kwamba hili kumbe ama wengi wanalielewa ila wamekaa kimya tu. Sikutegemea mashambuli makali kama haya. Nadhani wanaotudanganya kuwa tunaweza kushinda kesi hii ya Malawi inabidi wajipange vilivyo na si kuleta facts za kitoto ambazo ushambuliaji huu ni dhahiri kwamba wengi wamechoshwa na porojo wanataka fact zijadiliwe.

TUmechoka na ushahidi wa kitoto unaotumika kujadili international agreements.

Halafu hizo ndio facts ambazo ujumbe wa Tanzania unaoenda kujadiliana na Malawi leo utazitumia.

Kati ya NOKIA (kampuni) na MPAA WA ZIWA (UKOLONI) kipi kilianza?

hivi na wewe unajiona umefikiriaa?nokia ni nani?microsoft ni nani? Kwa hiyo huo ndo ushahidi wa kupeleka ICC eti nokia ama microsoft ilhali wenzako wanaonesha signed documents,,nasi tuingie na facts zetu zikionyesha muingereza alitukabidhi vp na kama tunazo hizo documents tuzipresent sio nokia ama microsoft ndo watatutetea ICC?

hiyo ramani ya pili mpaka unaonyeshwa kwa doti maana yake kuna mgogoro katika mpaka huo.....
 
Yaani kwa jinsi mlivyomshambulia huyu bwana mleta mada nimefarijika kwamba hili kumbe ama wengi wanalielewa ila wamekaa kimya tu. Sikutegemea mashambuli makali kama haya. Nadhani wanaotudanganya kuwa tunaweza kushinda kesi hii ya Malawi inabidi wajipange vilivyo na si kuleta facts za kitoto ambazo ushambuliaji huu ni dhahiri kwamba wengi wamechoshwa na porojo wanataka fact zijadiliwe.

TUmechoka na ushahidi wa kitoto unaotumika kujadili international agreements.

Wewe Gamba la Kimalawi, tulishakushitukia.
 
Back
Top Bottom