Pombe ilisababisha nikaambukizwa ukimwi nami nimewaambukiza maelfu

ogopa sana...somo la leo huwezi kumkomoa binadamu unajikomoa mwenyewe hapa duniani amini hivyo...aaisee..lakini roho ulizoziangamiza utakuja zilipia..tu usifikiri kuokoka ni kuyakimbia maovu uliyoyatenda amini hivyo..ati..ni principle za Mungu hizo..sio maneno yangu..over.. this is to whoever it may concern...
 
Amu, huyo jirani yako asikate tamaa, aendelee na mistari mpaka ulainike
 
tatizo hii story umeitunga..basi ipangilie vizuri ilete mvuto kwa wanaoisoma pengine itasaidia....shaka mf within three weeks you have taste HIV positive,this is not possible,within three years you manage to have sex with 1500 mens,its hard...
 
Back
Top Bottom