Politiki sawa lakini tutenge muda pia kwa ajili ya hawa..

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139
Hawa wamefanya kitu kizuri nawapa pongezi na sisi kila mmoja wetu kwa nafasi zetu tunaweza.....tuichukue hii kama changamoto!


1ST JAN 2012......MUNGU WANUSURU HAWA WATOTO....
Written by Mange
Sunday, 01 January 2012 19:20
With Hilda,Nyagwa ,Aika na watoto at muhimbili...New yr;s...

Nyagwa,Mange,Pamela,her friend,Kiki,Hilda and Aika kwenye wodi ya watoto wenye saratani...

Dr. Mwele, and the rest of us....

Dr. mwele akipanga zawadi za watoto...

Mtoto anaesumbuliwa na cancer ya jicho...akiwa ameshatolea jicho moja...

tukiwa tunawagaia watoto zawadi za mwaka mpya

Aika akigawa zawadi...

mtoto mwenye cancer ya taya....

Kiki and Nyagwa....

Kiki akigawa zawadi...

Pamela akigawa zawadi...

Sheria ngowi and i tukizungumza na mtoto wenye cancer ya taya/usoni

Duh, pole sana mtoto mzuri....

Dr. Mwele akicheza na mtoto...

Kiki akicheza na mtoto...

Aika and friend wakicheza na mtoto...

tukiwa tunaelekea ward ya juu....

Kiki and Zaituni...

pole mtoto....

Hujafa hujaumbika, huyu mtoto ana cancer ya kiuno,tulionyeshwa kidonda chake kiunoni jamani jamani, inatisha sana...

Captain Hilda....

huyu mtoto ana cancer ya ubongo....

huyu mtoto katoka kutolewa jicho....

watu wa watu

Pamela,Sheria,mange and hilda...

the whole crew.... Ahsanteni sana guys kwa moyo wenu..

tumeuanza mwaka kwa kuwafariji watoto hawa ,im sure na nyie pia mmepata amani sana kwenye roho zenu...

Zaituni and mange

Yote Kwa Hisani ya Blog ya Dubai
 
Back
Top Bottom