Lukansola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 5,435
- 1,597
unyama upi?
wa kuuliwa mwendesha bodaboda au hao polisi?
Safi sana! Tuambiwe na wao wemepingwa na vitu vyenye ncha kali.
Nakala: IGP Said Mwema, RPC Kamuhanda, etc
'nguvu ya umma' imetumika isivyo kwenye heading ya bandiko lako. mods ingilien
Safi sana! Tuambiwe na wao wemepingwa na vitu vyenye ncha kali.
Nakala: IGP Said Mwema, RPC Kamuhanda, etc
Habari za kusikitisha zilizonifikia kwa sasa ni kuwa Polisi wawili wameuwawa kwa kukatwakatwa na mapanga na wananchi baada ya kumuua mwendesha pikipiki katika eneo la Mgoma-Ngara-Kagera.
Baad ya polisi kumuua mwendesha bodaboda, wananchi walikuja juu kuvamia kituo cha polisi kuwaua hao polisi wawili na kukichoma kituo hicho kwa moto.
Chanzo cha unyama huu bado hakijajulikana
Nadhani inafaa kwani wananchi wameungana kupinga unyama wa polisi japo si vizuri kuua
Kitendo walicho kifanya watu wa Ngara ni kibaya lakini ni kizuri kwa upande mwingine ili kulipiza unyama ambao umekuwa ukifanywa na askari polisi pasipo hatua madhubuti kuchukuliwa kuwa wajibisha.
Tukio la Ngara lime kuwa kama ifuatavyo; Askari hao trafic na mwenzake walimsimamisha mwendesha bodaboda akakataa, ndipo wakapiga risasi ya mguuni na nyingine ya kifuani. Wananchi wakashikwa na hasira WAKAMCHINGA TRAFIC KAMA KUKU yule mwenzake akakimbia wakamkimbiza na kumkamata na kumuua papo hapo.
Nguvu ya umma kazi yake kuuwa watu?
Watanzania tuwe makini na makundi ya waasi.
Hao wauaji wa Polisi huenda wametoka nchi jirani. Huenda ni M23 hao