Polisi wasalimu amri warudisha Bendera ya CDM Tunduma!

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
Hongera makanda wa Tunduma kumbe nguvu ya uma haishindwi kitu
baada ya makamu wa raisi kushindwa kufika eneo la tukio kwa muda muafaka kutokana na mkanganyiko wa vijana wa tunduma na polisi kwa kung'oa bendera ya chadema hatimaye polisi wamerejesha bendera.na serikali imeamua kumtuma mh. Silinde mb kutuliza hasira za wananchi kabla mheshimiwa makamu hajafika na vijana wamekubali kutulia kwa mashariti kuwa asijaribu kuongelea lolote lile kuhusu ccm.hivi sasa tunamsubiri makamu wa rais japo ametuweka kuanzia saa nne asubui mpaka muda huu hajafika.
 
Nilijua watu wa tunduma wasingekubari mambo hayo nawaelewa vizuri huwa wana msimamooo! Wachezee kwingine cyo huko, bravo
 
Ndgu zangu hali ni mbaya kwa CCM, Kandoro kapanda jukwaani kuwatuliza wananchi lakini vijana wanazomea na kuonesha ishara ya CDM, amekaribishwa makamu wa Rais kuhutubia watu hawatulii zaidi ni kuzomea na kuonesha ishara ya CDM. Muda huu amepanda mheshimiwa mbunge David Ernest Silinde baada ya kuombwa na uongozi wa mkoa amepanda kukwaani wananchi wametulia na anamwaga sera za maana kuwapa ukweli magamba. Source rafiki yangu yupo mkutanoni kanipigia simu namba yake 0787 467 568
 
Mimi nilikuwa Tunduma mwaka Jana. Kama TISS wangekuwa wanafanya kazi yao ipasavyo haya yote yasingetokea. Ukweli ulio dhahiri hata ukiwa mgeni hutauliza Tunduma hakuna kabisa CCM. Vijana wake kwa wazee ni CDM TU. Tulikuwa kikazi mwezangua siku moja akavaa sharti rangi ya kijana (sio la CCM) ilibidi akalivue bila kutaka , kwakuwa tulikuwa wageni walihisi hilo sharti ni uniform ya CCM na sisi ni wana-CCM

Haya sio maneno ya kiushabiki uliza mtu yeyote aliyewahi kufika Tunduma miaka ya hivi karibuni.
 
Pale kisimani palikuwa hapatoshi
ni kisimani kwa sababu vijana wabadilisha fedha ndipo wanapo shinda
 
Mimi nilikuwa Tunduma mwaka Jana. Kama TISS wangekuwa wanafanya kazi yao ipasavyo haya yote yasingetokea. Ukweli ulio dhahiri hata ukiwa mgeni hutauliza Tunduma hakuna kabisa CCM. Vijana wake kwa wazee ni CDM TU. Tulikuwa kikazi mwezangua siku moja akavaa sharti rangi ya kijana (sio la CCM) ilibidi akalivue bila kutaka , kwakuwa tulikuwa wageni walihisi hilo sharti ni uniform ya CCM na sisi ni wana-CCM

Haya sio maneno ya kiushabiki uliza mtu yeyote aliyewahi kufika Tunduma miaka ya hivi karibuni.

Kweli mkuu hata kama unasafiri toka Makambako unakuja Mby kupitiliza mpaka Tunduma ukivaa kofia ya CCM au shirt la kijani unakazi kweli kweli barabarani humo ni ishara ya chadema
 
Wananchi wa Tunduma hongera kwa kumfikishia makam wa rais ujumbe kuwa hampo tayari kunyanyaswa na serikali hususan police
 
Ndgu zangu hali ni mbaya kwa CCM, Kandoro kapanda jukwaani kuwatuliza wananchi lakini vijana wanazomea na kuonesha ishara ya CDM, amekaribishwa makamu wa Rais kuhutubia watu hawatulii zaidi ni kuzomea na kuonesha ishara ya CDM. Muda huu amepanda mheshimiwa mbunge David Ernest Silinde baada ya kuombwa na uongozi wa mkoa amepanda kukwaani wananchi wametulia na anamwaga sera za maana kuwapa ukweli magamba. Source rafiki yangu yupo mkutanoni kanipigia simu namba yake 0787 467 568

Hiyo noma, Lengo lako watu waamini tu mpaka umetoa no. ili tumpigie!!! Waambie mangamba ndo wapige. CDM sisi niwaelewa tunaamini. Kamanda wangu Silinde tema kokoto, wachane hatuogopi sema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom