Erickdobey
Member
- Dec 1, 2015
- 62
- 142
Endeleeni kumdanganya aendelee kugeuza Kanisa kuwa jukwaa la siasa...kama alikosewa alipaswa yeye kama kiongozi kuonesha njia kwa kutopitia mlemle anakokulalamikia...
Ila upuuzi inaofanya serikali ni sawa?
Endeleeni kumdanganya aendelee kugeuza Kanisa kuwa jukwaa la siasa...kama alikosewa alipaswa yeye kama kiongozi kuonesha njia kwa kutopitia mlemle anakokulalamikia...
Hilo LA Bashite kapatia kabisaaaEndeleeni kumdanganya aendelee kugeuza Kanisa kuwa jukwaa la siasa...kama alikosewa alipaswa yeye kama kiongozi kuonesha njia kwa kutopitia mlemle anakokulalamikia...
Aliendelea kuongea sana kuonyesha anaficha mambo mengine anayofanya, amejitakia mwenyewe. Wamjuao wamemsema
VIP kama angedai fidia ya mabilioni Kwa kuchafuliwa jina si kodi zetu ndo zingetumika, kawa muungwana katuhurumia kodi zetu,Yeye kaweka wazi mjue sababu ya chuki ni nn,atatukana MTU wala kumsema uongo MTU kasema kweli na anao ushahidi,sisi ngoja tuone miamba wanavovuana nguo.Kwahio ni sahihi kwa mtumishi wa umma kujibu mapigo tena kwa njia za kihuni kabisa yani uongo???
Ile dhana ya samehe mara saba sabini haipo tena kwenye bibilia???
ThubutuGwajima hapambani na serikali yeye anapambana na Bashite aka fafafafafafa! Na mwisho wa huu mchezo Gwajima atashinda zaidi ya Kushinda.
Kwani lazima wewe uchangie ,unapenda mawazo yako ndio yachangiweIvi huwa ni lazima uchangie mada dada?
Kama huwa unakosa cha kuongea chenye manufaa na jamii aheri unyamaze kuliko kudhihirisha ubashite wako.
Its a kind of shame.
Unaongea mbele ya keyboardHivi hii Serikali inaongozwa na Vichaa jamani?
Gwajima walimpekua na wakakuta hana hata pombe za kawaida achilia sigara na viroba na wakampa CERTIFICATE OF CLEARANCE kwamba hana DAWA ZA KULEVYA WALA VIROBA!!!!
Kumkamata Gwajima tena ni kutaka kujibu mapigo katika kumtetea Daudi Bashite wa Kolomije na Babayake mlezi John Pombe Magufuli!!! Huu ni ujinga na upuuzi na kwa ujumla ni kuwachokoza Watz.
Ngoja tusubiri matokeo maana nchi inakopelekwa sasa siko!!!
Gwajima ndio kubwa la wanafiki ,tatizo anageuza kanisa kuwa ulingo wa siasaKwa sababu mpo juu ya sheria mkigusa wenzenu bila ushahidi ruksa,kumharibia mtu yakiwageuka mnakimbilia kulalamika,yule sio sawa na viongozi wa dini wanafiki yeye anakulipua hapo hapo na Kwa ushahidi,me naona sawa anavoweka wazi ili watu wajue chuki si kitu kizuri Kwa aliefanikiwa.
Safari hii hachomoki ,mwenzio manji Kawa mdogo kama pilitonWameamua kumweka ndani ili akose kuhudhuria madhabahuni kwake siku ya Jumapili ili kusudi asimwage mboga zaidi katika sakata la Daudi Bashite.
Kama wewe unamfahamu zaidi kwa nini wewe usiutoe huo ushaidi? What's actually not happening in this country? Is this the same country that mwlm jk1 was the president for 24 yrs? Is it or ni nyingine? Kwa nini watu mnatetea vitu vya kipuuzi kabisa ambayo havina mantiki yoyote ile? It's no wonder hata mahakama nazo zinafanya mambo ya ajabu so shamelessly. Kweli jamani?We need and have to change pls.Wacha akatoe ushahidi wa elimu ya Makonda si anajifanya anamjua kuliko wazazi wake
Nasikia askofu Leo ananyea debe mkuuNimenunua jogoo, nazi na mchele kilo 5. Yote haya ni kuhakikisha ugeni kutoka Kalomije unapata chakula stahiki J2 hata kama Askofu anatakua Central.
Jeshi la nyuki kwa jina la ki-Nyakyusa litamwadhibu yule kiumbe.Nasikia askofu Leo ananyea debe mkuu
Kwa hiyo gwajima anacheti cha zeroNimenunua jogoo, nazi na mchele kilo 5. Yote haya ni kuhakikisha ugeni kutoka Kalomije unapata chakula stahiki J2 hata kama Askofu anatakua Central.