Polisi waliomuua Mgalula kufikishwa Mahakamani.

Komeo

JF-Expert Member
May 3, 2011
2,498
1,171
Jeshi la Polisi limewafukuza kazi askari wake waliokuwa wanatuhumiwa kwa mauaji ya kijana Hassan Mgalula wa Urambo, Tabora. Kwa mujibu wa RPC Tabora, askari hao wanne (Konstebo Aidano, Jonathan, Mohamed na Khakimu) sasa wanakabiliwa na tuhuma za mauaji, na kwamba wanatarajiwa kufikishwa Mahakamani mara moja kusomewa mashtaka yao.
Source: Gazeti la Tanzania Daima la 06/03/2012
My take: Nice move if at all they will appear before the court of law as insisted by the RPC.
 
... hatua zilizochukuliwa hadi sasa dhidi ya polisi wanaotuua raia huku mitaani nasema BADO SANA kuturidhisha kitu.

Mpaka dakika hii letu wananchi ni kwamba tunahimiza hatua zaidi za kisheria zichukue mkondo wake uliosahihi zaidi ili HAKI ionekane na kuhisiwa kutendeka kwa familia za wafiwa wetu na Umma wa Tanzania kwa ujumla wetu.

Jeshi la Polisi limewafukuza kazi askari wake waliokuwa wanatuhumiwa kwa mauaji ya kijana Hassan Mgalula wa Urambo, Tabora.

Kwa mujibu wa RPC Tabora, askari hao wanne (Konstebo Aidano, Jonathan, Mohamed na Khakimu) sasa wanakabiliwa na tuhuma za mauaji, na kwamba wanatarajiwa kufikishwa Mahakamani mara moja kusomewa mashtaka yao.

Source: Gazeti la Tanzania Daima la 06/03/2012

My take: Nice move if at all they will appear before the court of law as insisted by the RPC.
 
Back
Top Bottom