polisi wa zanzibar wametunyima coner wametupa penant

abdul 28

JF-Expert Member
May 29, 2012
325
38
Kwa kweli polisi wa ZANZIBAR walikuwa wanatafuta sababu ya kusuguwana na UAMSHO.

Sababu uamsho waliambiwa wasiende lumumba kufanya mkutano ili uamsho wakaidi agizo hili halafu waseme hawa UAMSHO ni wavunjifu wa amani ili wapige mabomu ya machozi na virungu ikiwezekana polisi wayachome tene makanisa ya wakristu na kupiga mabomu gari na mali za raiyaa ILI vyombo vya habari vishike kuwa UAMSHO WANAFANYA FUJOOO lakini wazanzibar wako macho

SASA WANATAKA NCHI YAO NA WANAWAOMBA WAKRISTU WASIKUBALI KUBEBA MSALABA WA CHUKI WANAO BEBESHWA NA CCM
TANGANYIKA,

HII ITAKUJA KUWAWIYA MAZINGIRA MAGUMU BAADA YA KUVUNJIKA MUUNGANO SABABU WAO WINGI SI WAZALIWA WA ZANZIBAR WITO KWA WAKRISTU ZANZIBAR UNGANA WAZANZIBAR KUDAI NCHI YAO MUKIWA HAMUWEZI KAENI KIMYA MUSIKUBALI KUTUMILIWA NA CCM KUTAKA KUPINDISHA MADAII YAOO WAWACHENI WAPUMUWEEEEEEEEEEEEEEEE TANGANYIKA NDIO JINA LA NCHI YENUUU
 
tulia uandike vizuri ..unakimbizwa?
ipfAP4-HgwI.jpg
 
kwa kweli polisi wa ZANZIBAR walikuwa wanatafuta sababu ya kusuguwana na UAMSHO,sababu uamsho waliambiwa wasiende lumumba kufanya mkutano ili uamsho wakaidi agizo hili halafu waseme hawa UAMSHO ni wavunjifu wa amani ili wapige mabomu ya machozi na virungu ikiwezekana polisi wayachome tene makanisa ya wakristu na kupiga mabomu gari na mali za raiyaa ILI vyombo vya habari vishike kuwa UAMSHO WANAFANYA FUJOOO lakini wazanzibar wako macho SASA WANATAKA NCHI YAO NA WANAWAOMBA WAKRISTU WASIKUBALI KUBEBA MSALABA WA CHUKI WANAO BEBESHWA NA CCM TANGANYIKA,HII ITAKUJA KUWAWIYA MAZINGIRA MAGUMU BAADA YA KUVUNJIKA MUUNGANO SABABU WAO WINGI SI WAZALIWA WA ZANZIBAR WITO KWA WAKRISTU ZANZIBAR UNGANA WAZANZIBAR KUDAI NCHI YAO MUKIWA HAMUWEZI KAENI KIMYA MUSIKUBALI KUTUMILIWA NA CCM KUTAKA KUPINDISHA MADAII YAOO WAWACHENI WAPUMUWEEEEEEEEEEEEEEEE TANGANYIKA NDIO JINA LA NCHI YENUUU
___________
View attachment 55410
 
Tumeshashtuka uamsho ni kikundi cha kihuni tu kinachotumiwa na walioikimbia nchi yetu kutuchonganisha na ndugu zetu wabara.
 
Back
Top Bottom