Waziri kivuli
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 2,987
- 3,450
Makonda amekuwa akirudia kauli kuwa clouds hawajafungua kesi ya uvamizi dhidi yake!
Ikumbukwe kitendo anachotuhumiwa kukifanya ni kosa la jinai!!!!
Jana Ruge kaweka kuwa si kweli kuwa hawajafungua kesi,kesi walifungua Polisi Oysterbay!
Ni wakati sasa wa polisi kutueleza kesi hiyo imefikia wapi!!!
Kuna kila dalili hata hilo jalada lilishatupwa na halipo,maana haiwezekana mtuhumiwa hajui kuwa ameshtakiwa kwa kosa la jinai!
Hii inamaana hata polisi hawajajisumbua kumuita kumuhoji!
Ni aibu kwa jeshi la polisi,limeacha weledi na kutumika na watawala wapendavyo!
Its shame!