POLISI na FFU KAMA HAWA WANASTAHILI KUWAJIBISHWA AU?

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Polisi kama hawa wanastaiki kuwajibishwa au baada ya kufanya kazi yao hiliyo waleta uwanjani wanapiga picha wachezaji ni mapenzi au ukosefu wanidhamu za kazi. Je polisi wa ligi kuu pale Uingereza wanaweza kufanya hivi. Tena hawa ndo wanaoaminika kuwa ni wakari zaidi ya pilisi wanawaita FFU.
 
Kwanza hakuna POLISI na FFU, wote ni POLISI. Kama walipangwa ulinzi na wao wakafanya hayo ni makosa. Hata hivyo POLISI kama chombo cha ulinzi na usalama na wao huwa wanachukua picha za matukio kwa kumbukumbu zao. Lakini pia si kila kinachofa nywa na Uingereza lazima na sisi tuige.........
 
ASTAGHAFLAH! Baada ya uchunguzi wa kina hasira zangu zimeshuka kwa kugundua kuwa kipato kidogo + elimu ndogo ya hawa makamanda wetu ni mkanganyiko na chukizo kwa raia na Mungu.

Yaani alipojaliwa tu kupata simu yenye Camera 2.0 pixels lazima umma umuone kuwa naye ana uwezo mkubwa na pia hajaachwa nyuma na teknolojia ya kiganjani.

Kuanzia sasa wanaoingia jeshi lolote inabidi wawe ni form six (wenye div I, II & III) basi na wajiunge na kozi iwe ni ya Diploma ya miaka miwili. Pamoja na masomo mengine wajikite katika Ulinzi na usalama, Sheria, Uraia, Haki za Binadamu, Huduma ya kwanza, Majanga, Uongozi na Weledi kazini, Michezo n.k
 
Polisi kama hawa wanastaiki kuwajibishwa au baada ya kufanya kazi yao hiliyo waleta uwanjani wanapiga picha wachezaji ni mapenzi au ukosefu wanidhamu za kazi. Je polisi wa ligi kuu pale Uingereza wanaweza kufanya hivi. Tena hawa ndo wanaoaminika kuwa ni wakari zaidi ya pilisi wanawaita FFU.
kilamtu anastahili kufanya kazi lakini sio kilakazi itafanywa na kila mtu
 
Inaonesha nakuthibitisha kwamba bila chokochoko za polisi kwa raia, amani hutawala na

kazi kwao hua kama hakuna bali
utulivuuu..... kiasi kwamba mpaka wanajisahau.
 
hivi bongoland tuna police kweli au tunadanganya humu jf???
 
Polisi kama hawa wanastaiki kuwajibishwa au baada ya kufanya kazi yao hiliyo waleta uwanjani wanapiga picha wachezaji ni mapenzi au ukosefu wanidhamu za kazi. Je polisi wa ligi kuu pale Uingereza wanaweza kufanya hivi. Tena hawa ndo wanaoaminika kuwa ni wakari zaidi ya pilisi wanawaita FFU.

Hivi Tanzania kuna Polisi? Mimi naona kama ni genge la wauaji linaoongozwa na Serikali ya Dhaifu
 
1.jpg
 
Watanzania wanapiga kura kama vipofu, halafu wanalalama kama vichaa! (Generali Ulimwengu 2011)
 
Polisi kama hawa wanastaiki kuwajibishwa au baada ya kufanya kazi yao hiliyo waleta uwanjani wanapiga picha wachezaji ni mapenzi au ukosefu wanidhamu za kazi. Je polisi wa ligi kuu pale Uingereza wanaweza kufanya hivi. Tena hawa ndo wanaoaminika kuwa ni wakari zaidi ya pilisi wanawaita FFU.

Wale walomkanyaga kanyaga Mwangosi hadi mmojawapo kumlipua matumbo wapo nje wanapeta ije kua huyu anayejipigia picha wachezaji anaowapenda?
Mwacheni apige zake picha bana. Hii ndio Bongo.
 
Back
Top Bottom