Polisi mko wapi? Mawaziri hawajavaa helmet, wakipata ajali wajigharamikie

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,060
49,744
Polisi Huwa mnasumbua boda boda ,mbona Hawa Mawaziri waliobebana kwenye bodaboda hamjawatoza faini Kwa kutovaa helmet?

Acheni double standards
Screenshot_20240122_143925_Instagram.jpg

Mbunge wa Chamwino Deo Ndejembi akiwa amembeba Mbunge wa Dodoma Mjini Antony Mavunde katika Mapokezi ya Katibu Mkuu mpya wa CCM Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi

My Take
Kuelekea Uchaguzi Mkuu tutashuhudia Kila aina ya vituko.
 
Sasa tungewajuaje wakivaa helmet ⛑.

masuala ya social network haya, baada ya picha ya pamoja watakua walivaa helmet safari ikaendelea.
Polisi Huwa mnasumbua boda boda ,mbona Hawa Mawaziri waliobebana kwenye bodaboda hamjawatoza faini Kwa kutovaa helmet?

Acheni double standards
View attachment 2879554
Mbunge wa Chamwino Deo Ndejembi akiwa amembeba Mbunge wa Dodoma Mjini Antony Mavunde katika Mapokezi ya Katibu Mkuu mpya wa CCM Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi

My Take
Kuelekea Uchaguzi Mkuu tutashuhudia Kila aina ya vituko.
 
Wakifa ni hasara kwa familia zao.
Suala la kutibiwa kwa fedha za umma,mleta mada huwezi zuia mvua kunyesha.
 
Polisi Huwa mnasumbua boda boda ,mbona Hawa Mawaziri waliobebana kwenye bodaboda hamjawatoza faini Kwa kutovaa helmet?

Acheni double standards
View attachment 2879554
Mbunge wa Chamwino Deo Ndejembi akiwa amembeba Mbunge wa Dodoma Mjini Antony Mavunde katika Mapokezi ya Katibu Mkuu mpya wa CCM Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi

My Take
Kuelekea Uchaguzi Mkuu tutashuhudia Kila aina ya vituko.
Hawa wapo juu ya sheria, sijui wanaifundisha nini jamii?
 
Polisi Huwa mnasumbua boda boda ,mbona Hawa Mawaziri waliobebana kwenye bodaboda hamjawatoza faini Kwa kutovaa helmet?

Acheni double standards
View attachment 2879554
Mbunge wa Chamwino Deo Ndejembi akiwa amembeba Mbunge wa Dodoma Mjini Antony Mavunde katika Mapokezi ya Katibu Mkuu mpya wa CCM Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi

My Take
Kuelekea Uchaguzi Mkuu tutashuhudia Kila aina ya vituko.
WApo juu ya sheria.
 
Double standard kivipi wakati kuvaa helmet ni Kwa faida Yako! Mtu anayekukumbusha(Kwa fine) usalama wako wa afya na uhai ulitakiwa umshukuru. Unawaonea wivu wanaoride bila helmet wakat hakuna faida yoyote
 
Hiyo ni movie mkuu.

Unajua ni muda gani wametumia kuandaa hiyo script.

Na walijua kabisa utawasaidia kuifikisha sokoni na kuwa maarufu.

Kwa akili tu ya kawaida unaona kabisa ni siasa wanafanya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom