Polisi kulewa na silaha uraiani wakiwa kazini

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,375
Wakuu
Hii tabia naona inakuwa kwa kasi na haikemewi na umma wala jeshi la polisi.Unakuta polisi wa doria wanapaki gari katika bar wanaingia wakiwa na silaha na kula na KUNYWA VILEVI
Ni hatari kama moto wa gas..wanaweza kukorofishana na jamii na kutumia silaha pasipo na akili timamu(sober) na pia ni hatari wahalifu wanaweza kuwapora silaha kwa kuwa wanakuwa wamedhoofisha mwili na akili kwa kilevi na kwenda kuitumia vibaya
Tunajua viongozi wanaweza kuwa hawalijui hili lakini sisi wananchi tunaokutana nao na mi-SMG mezani tuwafanyeje hawa ??
 
Everything goes wrong in this country. Hapo hadi alipuliwe mtu grocery ndo watashtuka.
I see...mi huwa nikiyaona magobore mezani basi hata ngano haishuki maana napata hisia za mmasai kuingia Disco
 
drunk cop-thumb-494x377.jpg
One more shot please!
 
Siyo haki na siyo sawa, dawa yao ni kuwapiga offer ya mvinyo wa kufa mtu na wakishalewa chukua bunduki na kuiwasilisha kwenye kituo cha haki za binadamu manake ukiipeleka polisi tu imekula kwako, utabambikiziwa kesi za kufa mtu.
 
GT... Raia amkiomba ssilaha kwa ulinzi binafsi masharti marefu na magumu lakini wao mbona wanasimplify sana handling za silaha??
 
Tena wana sifa sana wakiwa na mapombe mkononi,na makoti makubwa na meusi sana!
 
Wakuu
Hii tabia naona inakuwa kwa kasi na haikemewi na umma wala jeshi la polisi.Unakuta polisi wa doria wanapaki gari katika bar wanaingia wakiwa na silaha na kula na KUNYWA VILEVI
Ni hatari kama moto wa gas..wanaweza kukorofishana na jamii na kutumia silaha pasipo na akili timamu(sober) na pia ni hatari wahalifu wanaweza kuwapora silaha kwa kuwa wanakuwa wamedhoofisha mwili na akili kwa kilevi na kwenda kuitumia vibaya
Tunajua viongozi wanaweza kuwa hawalijui hili lakini sisi wananchi tunaokutana nao na mi-SMG mezani tuwafanyeje hawa ??

ronnie coleman & jay cutler - YouTube
 
Siyo haki na siyo sawa, dawa yao ni kuwapiga offer ya mvinyo wa kufa mtu na wakishalewa chukua bunduki na kuiwasilisha kwenye kituo cha haki za binadamu manake ukiipeleka polisi tu imekula kwako, utabambikiziwa kesi za kufa mtu.

Kuna jamaa yangu kakamatwa na traffic wa kike! Wakapanda wawili eti wanaimaisha ulinzi. Jamaa akawakaribisha supu hawakusita wakachangamkia! Ikafata bia mbilitatu wapo tu. Mwisho akawaambia kuna sehemu inaitwa TOROKA UJE! Si wakatorokea huko mazee! Mwisho jamaa akaenda kumvua ile nguo ya mwisho mmoja wao! Sijui huko gesti walivua crown na mkanda wakaacha kwenye gari ama walizitupa sakafuni! Yaani siku hizi wanaajiri vichangu!
 
Back
Top Bottom