Philipo Kidwanga JF-Expert Member Jul 12, 2012 2,042 599 Oct 18, 2012 #2 dah kweli hatari unalala halafu mguu wa kuku wa maana unauacha hivyo duh hatare.
Mshirazi JF-Expert Member Dec 8, 2009 444 170 Oct 18, 2012 #3 Huyo kalewa AMANI NA UTULIVU,, sehemu panapokosekana ULEVI huo hukutu hali kama hiyo.
Mwanahisa JF-Expert Member Jun 29, 2012 1,382 510 Oct 18, 2012 #4 Huyu nikimkuta hivyo, Namvua mbavu na nyota zote.
Bwana Mapesa JF-Expert Member Apr 28, 2011 2,551 1,777 Oct 18, 2012 #5 Mbuzi Mzee said: Click to expand... mi nakataa,huyu alijipanga ili apigwe picha...lakin hakuna mwenye pistol ambaye anakaa kiboya kama huyu..mliokuwa nazo mtakubaliana na mimi
Mbuzi Mzee said: Click to expand... mi nakataa,huyu alijipanga ili apigwe picha...lakin hakuna mwenye pistol ambaye anakaa kiboya kama huyu..mliokuwa nazo mtakubaliana na mimi